Mpendwa,

Tatizo la wengi ni kupata pesa, lakini kuzitunza na kuzizalisha ni changamoto kubwa zaidi.

Hali hii inaibua wasiwasi, hofu ya kesho, na wakati mwingine hata kuchanganyikiwa.

Kila mwezi, unajikuta ukipoteza pesa bila mpangilio, bila kujua wapi zinakoenda.

Lakini mbona wengine wanafanikiwa kifedha?

Tatizo ni kwamba mbinu nyingi unazotumia hazikupi matokeo unayotaka.

Unaweza kuzibadilisha.

Tunawaletea Semina ya Kisima cha Maarifa, ambapo utafunzwa njia bora za kifedha kwa kutumia mbinu za kitaalamu.

Utafahamu jinsi ya kupata pesa zaidi, kuzitunza, na kuzizalisha.

Kwa nini uendelee kusumbuka?

Chukua hatua sasa na jiunge na semina hii!

Bonyeza hapa https://wa.link/7xpijv na jiwekee nafasi yako leo.

Tunakusubiri,

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv