Hawa alikuwa na kipato kizuri, lakini hakuweza kutunza fedha zake kwa muda mrefu.

Matumizi ya haraka na yasiyotarajiwa yalizidi kupanda, na kila mara alihisi kama pesa zinapotea kwenye vitu visivyo na maana.

Kila mwisho wa mwezi, Hawa alikosa amani kutokana na bili Kuwa kubwa ambazo zilijilimbikiza.

Alipoteza matumaini ya kuishi maisha ya kifahari kama alivyoota, na hofu ya kutojua jinsi ya kudhibiti pesa ilimnyemelea kila mara alipokuwa akifikiria kuhusu malengo yake ya kifedha.

Wengine walimwambia kwamba maisha yana gharama kubwa na hakuna njia ya kuepuka hilo.

Lakini Hawa alijua kuwa kuna njia bora ya kudhibiti matumizi, na alihitaji kujifunza jinsi ya kufanya hivyo kwa ufanisi.

Baada Ya Kujiunga na Kisima Cha Maarifa 2024, Hawa alijifunza mbinu za kupanga bajeti na kudhibiti matumizi yake kwa ufanisi zaidi.

Aliweza pia kujifunza jinsi ya kuongeza kipato chake kwa kufanya uwekezaji mzuri.

Leo, Hawa ana udhibiti mzuri wa fedha zake na ameanza kuwekeza kwa ajili ya malengo makubwa ya siku zijazo.

Usikubali matumizi mabaya yaendelee kukurudisha nyuma.

Jiunge na SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024, ili na wewe uweze kudhibiti fedha zako na kufanikisha malengo yako! Kama Hawa.

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv