Rafiki Yangu Mpendwa,

Kipindi Kile Mirian alikuwa kwenye hali mbaya Sana kifedha.

Alikuwa na madeni ya benki, mikopo ya gari, na bili zilizomzidi uwezo.

Kila mwezi, alihangaika kulipia madeni hayo, na pesa zake zote ziliishia kwenye malipo ya riba.

Hakujua jinsi ya kuondoka kwenye mzunguko huo wa madeni.

Hiyo hali ilizidi kumletea huzuni.

Alihisi hofu kubwa ya kufilisika na kupoteza kila kitu alichopata kwa bidii.

Mirian alikosa amani na maisha yake yakawa magumu kutokana na deni kubwa alilokuwa nalo.

Wenzake walimwambia kuwa madeni ni sehemu ya maisha ya kila mtu, lakini Mirian alijua kwamba hakutakiwa kuishi maisha hayo.

Alitaka kuwa huru kifedha na kuepuka hali ya kuwa mtumwa wa madeni.

Mirian Baada Ya Kukutana na Jamii Ya Tofauti Ya Kisima Cha Maarifa, na hapo ndipo alipoweza kujifunza mbinu za kudhibiti madeni na jinsi ya kujinasua kutoka kwenye riba kubwa.

Alipata mbinu bora kabisa za kuongeza kipato chake na kuanza kuwekeza kwa malengo ya muda mrefu.

Sasa Mirian ameweza kulipa madeni yake yote na anaishi kwa uhuru bila bughuziwa na yeyote yule.

Jiandikishe Na Wewe Leo Kwenye Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024, https://wa.link/7xpijv,

Ili Ujifunze Jinsi Ya Kudhibiti Madeni Yako na Kupata Uhuru Wa Kifedha Kama Mirian!

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.
Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

  1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.
  2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.
  3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.
  4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.
  5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.
  6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.
  7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.
Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.
Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.
Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv