Mpendwa,

Kipindi hicho Mary alitaka kufungua duka lake, lakini alikosa mtaji wa kutosha. Kipato chake kidogo kilimzuia kufikia lengo lake.

Na alikuwa na wazo bora kabisa la biashara, lakini hofu ya kukosa fedha ilimfanya akose tumaini.

Wakati marafiki zake walipokuwa wakifungua biashara zao, yeye aliendelea kuhisi kama anamkosi.

Na wengi waliendelea kumuogopesha na kumwambia kuwa biashara inahitaji mtaji mkubwa, lakini Mary alijua kuwa kuna njia za kufanikisha bila mtaji mkubwa.

Kwahiyo baada ya kukutana na Jamii Ya Tofauti Ya Kisima Cha Maarifa 2024, ndipo alijifunza mbinu za kufungua biashara kwa kutumia rasilimali zilizopo na kujenga mtaji.

Leo, Mary ana duka lake na linalokuwa kwa kasi kubwa.

Thibitisha sasa kushiriki *Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024* ili uweze kufikia malengo yako ya kifedha.

Ungana na Wenzako Makini Hapa 👉👉*https://wa.link/7xpijv*

Karibu kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifatavyo;

1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.

2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.

3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.

4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.

5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.

6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.

7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na MaishaKwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kwa Mfano Ukibonyeza Hapa https://wa.link/7xpijv Utapata Utaratibu Mzima Wa Kushiriki Semina Ya Kisima Cha Maarifa 2024.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kupata nafasi ya kushiriki SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Karibu. 👉 https://wa.link/7xpijv