
Mpendwa Rafiki,
Kuna watu wanaamini kwamba miujiza ni vitu nadra Sana ambavyo huwatokea watu maalum pekee, na sio wao.
Ujue ni vigumu Sana, kukabiliana na maisha yenye changamoto nyingi bila tumaini la mabadiliko makubwa.
Na Maisha ya kawaida yanaweza kuwa magumu na ya kukatisha tamaa bila mwelekeo sahihi.
Na Wala Hata Hauhitaji Uwe mtu wa kipekee Sana ili Uweze kutenda miujiza. Kwasababu uwezo wa kutenda mambo makubwa uko ndani ya kila mmoja wetu, unachohitaji ni kujua jinsi ya kuutumia.
UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA,
…itakuongoza hatua kwa hatua kwenye safari ya kugundua uwezo wako na jinsi ya kuutumia kuleta mabadiliko makubwa katika maisha yako.
Bro Usikubali kuishi maisha ya kawaida.
Pata na Soma Kitabu Cha UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA na ujifunze jinsi ya kufanya miujiza iwe sehemu ya maisha yako!
Yote Hapa 👉https://wa.link/2tl69r
Karibu.