
Mpendwa Rafiki,
Kukata tamaa, kukosa Furaha, kupata msongo ni kwasababu ya kukosa ustahimilivu,
Ili kupata ustahimilivu fanya mambo haya matatu (3),
- Fanya Tahajudi.
- Jifunze.
- Andika Chini changamoto inayokukabili.
Kumbuka;
Kwenye Haya Maisha Utakosa Mengi Kuliko Utakayoyapata.
Kujifunza zaidi kuhusu somo hili,
Pata kusoma kitabu chaUNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA
Kama bado hujakipata ingia hapa https://wa.link/2tl69r
Na pia kama bado hujapakua aplikesheni ya UTAJIRI.TZ,
Basi ipakue hapa 👇
https://www.bit.ly/utajiritz
Karibu Sana.
https://wa.link/2tl69r