Mpendwa Rafiki,

Mara Zote Kumbuka hii…
Wateja hawakumbuki bei, wanakumbuka hisia ulizowapa.

Tangazo linalogusa moyo linauza zaidi ya bidhaa – linauza uhusiano.

Badala ya kusema bei, simulia hadithi ya mteja aliyefanikiwa kwa bidhaa yako.

Hadithi inayogusa hujenga uaminifu na inahamasisha kuchukua hatua haraka.

Watu hawapendi kununua; Bali wanapenda kuhisi kuwa wameeleweka na muuzaji.

Hadithi zako zinaweza kuwa daraja kati ya tatizo la mteja na suluhisho lako.

Jifunze Nguvu Ya Hadithi kupitia kitabu hiki cha Siri Za Hadithi Za Mauzo leo!

Bonyeza hapa kujifunza zaidi 👇 https://tinyurl.com/6n3avn37

Karibu Sana.
https://tinyurl.com/6n3avn37