
Mpendwa Rafiki,
Wajasiriamali wengi hudhani wana biashara, kumbe wanajitegemea wenyewe, hawana mfumo unaofanya kazi bila wao.
Hii si biashara, ni kazi ngumu isiyo na uhuru.
Moses alikuwa na duka lililomfanya ajisikie tajiri, lakini alipougua kwa mwezi mmoja, akaanza kukopa ili kulipa kodi.
Aliamini ana biashara, kumbe alikuwa mtumwa wa biashara yake mwenyewe!
Njia ya uhuru ni kujenga biashara inayofanya kazi hata ukiwa mbali.
Kitabu Cha *MKEKA WA UBILIONEA* kinakupa ramani ya kutoka kwenye utumwa wa kila siku hadi kujenga biashara inayojitegemea.
Kujifunza kwa kina hili Somo zama humu 👇*https://vitabu.somavitabu.co.tz/#/view/shop-item/28/*
Karibu.
0756694090.