*DARASA LA UWEKEZAJI: IELEWE MIFUKO YA PAMOJA YA UWEKEZAJI (MUTUAL FUNDS)* 

🔹 *Je, unadhani uwekezaji unahitaji mtaji mkubwa?* 

🔹 *Unataka kujifunza njia rahisi na salama ya kuwekeza hata kwa kiasi kidogo cha fedha?* 

Usikose darasa hili maalum la uwekezaji! 🔥 

Katika darasa hili, utapata fursa ya kuelewa kwa kina kuhusu *Mifuko ya Pamoja ya Uwekezaji* (Mutual Funds), njia bora na rahisi ya kuwekeza kidogo kidogo huku ukiongeza kipato chako taratibu. 

Utajifunza: 

✅ Mifuko ya pamoja ya uwekezaji ni nini na inavyofanya kazi. 

✅ Jinsi unavyoweza kuanza kuwekeza hata kwa kiasi kidogo cha fedha. 

✅ Namna ya kunufaika na mifuko hii bila kuwa na ujuzi wa kitaalamu wa soko la fedha. 

📍 *Darasa litafanyika ndani ya kundi la NGUVU YA BUKU*, jamii yenye zaidi ya washiriki *400* wanaojifunza na kuwekeza kwa vitendo. 

*Jinsi ya Kushiriki:* 

Ili kujiunga na kundi la NGUVU YA BUKU, unahitaji kuwa na kitabu *NGUVU YA BUKU* au *USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI*. 

🔗 *Jiunge moja kwa moja hapa:* https://bit.ly/nguvuyabuku

Hili ni darasa lisilopaswa kukupita ikiwa unataka kuwa *mwekezaji makini* na kujijengea uhuru wa kifedha. Karibu ujifunze na kuchukua hatua! 

📞 *Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi sasa kupitia:* *0756694090* 

#Uwekezaji #MutualFunds #NguvuYaBuku 🚀