kutuma meseji kama:

“Shikamoo Bi Amina, simu uliyoulizia imeshafika, karibu tena kwa punguzo la mteja wetu maalum.

Bro, wateja walirudi. Biashara ikabadilika.

Aliongeza mauzo mara mbili ndani ya miezi miwili.

Aliniambia, Kumbe watu si wa kununua tu, wanataka kuheshimiwa na kutambulika.

Usiendelee kutuma meseji za mtaani kwa mteja wa kisasa.

Leo hii, tumia jina la mteja wako kwenye kila meseji.

Mfanye ahisi kwamba ujumbe umetumwa kwa ajili yake tu.

Na utashangaa, uaminifu unaongezeka, mauzo yanapaa, na wateja wanakuwa washikaji wa kudumu.

Unataka kuanza kutumia mfumo huu kirahisi?

Kama ni Ndiyo, Bonyeza Hapa 👇

https://wa.link/ab5pqh

Usisahau: Meseji ya kawaida huachwa. Meseji ya jina hugusa. Meseji inayogusa huuza.

Karibu.

Imeandikwa Na Bwana Ramadhan Amir.

0756694090.