Hivi Mpaka Leo Bado Unatumia Daftari Kufuatilia Biashara Yako?

Mpendwa Rafiki,

Biashara yako iko vizuri ila unaona kama kuna kitu kinakukwamisha?

Mara unasahau jina la mteja, mara hupati kujua umetumia kiasi gani wiki hii, umepata kiasi gani, mara invoice unapoteza.

Ni kama biashara inakuendesha wewe badala ya wewe kuiendesha.

Yani unajikuta kila siku uko kwenye presha.

Wateja wanalalamika hujawajibu, fedha zimeingia hujui zimetumika vipi, invoice unawahi kuituma jioni wakati mzigo ulienda asubuhi.

Inachosha na inarudisha nyuma biashara bila wewe kujua.

Wengi wanadhani kutumia daftari, WhatsApp na Excel ndio njia rahisi.

Lakini hiyo ni kuchanganya mambo.

Hakuna mpangilio, kila kitu kiko pande zake, na ukipoteza simu au laptop, biashara nayo imepotea.

Hapo ndipo wengi wanabaki wanasema nitaanza upya.

Lakini kuna njia rahisi, ya kisasa, na inayoleta amani.

Mfumo wetu wa Mauzo CRM And Accounting, unakupa uwezo wa kufuatilia wateja wako, kutuma invoice papo hapo, kuona mapato na matumizi kwa sekunde hiyo hiyo.

Yote hayo unayapata sehemu moja, kwenye simu yako tu.

Ni kama kuwa na msaidizi wa biashara mfukoni.

Mzee Hamisi alikuwa na duka la vifaa vya simu. Kila kitu alikuwa anaandika kwenye daftari lake la kijani.

Leo hii anakwambia, Mambo yamebadilika.

Nikiingia kwenye simu yangu, najua kila hela imetumika vipi, na wateja wangu wote nawafuatilia vizuri.”

Ana muda mwingi wa kupumzika, na biashara inajiendesha bila ya kumtegemea yeye.

Wewe unasubiri nini?

Upate sasa hivi. Jiamini, panga biashara yako, na uanze kuuza kwa mpangilio wa kisasa.

Na kwasababu leo ni MUUNGANO DAY ,

Basi natoa ofa kwa wajasiriamali na wafanyabiashara 9 Tu! wa kwanza kuwaelekeza jinsi ya kutumia mfumo huu kwenye biashara zao,

BURE KABISA.

Kuwa miongozi mwa watu 9 TU! wa kwanza,

Basi ingia hapa 👇

https://wa.link/e27dzt

Karibu.
0756694090.
Imeandikwa Na Bwana Ramadhan Amir.