Pata Elimu Ya Mikopo.

‎‎
Mpendwa Rafiki,

‎Unakumbuka mara ya mwisho uliomba mkopo ilikuwaje?

‎Ulidhani umejipa unafuu, kumbe umejifunga kitanzi cha madeni?

‎Ulianza kujificha kwa HR kila mwisho wa mwezi?

‎Tatizo si mkopo, rafiki yangu.

‎Tatizo ni kutokujua aina za mikopo, mzuri na mbaya.

‎Mkopo mbaya?

‎Ni ule unaokula mishahara yako hadi unakopa tena kurudisha uliokopa.

‎Ni ule wa kununua vitu vya haraka haraka visivyozalisha chochote.

‎Na mwisho wake?

‎Unaishia kulalamika ‘Maisha magumu’ kila mwezi.

‎Lakini kuna mkopo mzuri, ule unaokuongezea kipato.

‎Unaochangia elimu, biashara, ujuzi au uwekezaji.

‎Ule unaojilipa wenyewe na kukuinua.

‎Kwasababu leo ndio mwisho wa ile ofa ya mei mosi,

‎Basi unayo nafasi ya kutoka kwenye mduara wa madeni na kuingia kwenye mduara wa maarifa.

‎Ofa ni hii hapa:

‎Ni kama zali kwako leo unapata vitabu vinne (4) vya hardcopy,

‎Kwa Tsh 50,000 tu badala ya 80,000. Hivi vitabu vitakufundisha:

‎Aina za mikopo

‎Mikakati ya kutoka kwenye madeni

‎Njia za kuanzisha biashara ndogo zenye faida

‎Jinsi ya kuijenga akili ya utajiri hata ukiwa bado kwenye ajira.

‎Huu hapa ushuhuda wa mteja wetu…..

‎Mariam, mwalimu kutoka Singida, alikopa benki kununua friji la kuuza juisi baada ya kusoma kitabu cha NGUVU YA BUKU.

‎Leo hii anaongeza mshahara wake kila wiki, na bado yuko kazini.

‎Usiogope mikopo ogopa ujinga wa mikopo.

‎Andika NATAKA OFA YA MEI MOSI kwenda Namba 0756694090.

‎Kisha nitakutumia maelekezo kabla ya ofa hii kuisha usiku huu!

‎Kumbuka: Ofa Hii Ni Ya Leo Tu,

‎Leo Jumamosi Ya Tarehe 03/05/2025.

‎Karibu.
‎0756694090.