‎Mpendwa Rafiki,
‎
‎Hebu niambie…
‎
‎Kwa nini kila siku unaamka mapema, unajitoa kimasomaso kazini,
‎
‎…lakini mwisho wa siku unaambulia maneno tu kama, Pambana tu kaka… siku moja itaeleweka?
‎
‎Umechoka kuona wengine wakisonga mbele, wakibadilisha maisha, ilhali wewe bado uko pale pale,
‎
‎… ukivumilia, ukitegemea miujiza itokee kutoka hewani.
‎
‎Kaka/Dada… hiyo siyo stori yako kamili. Wewe unastahili zaidi ya hapo.
‎
‎Na cha kuumiza zaidi…
‎
‎Unafanya kazi mara mbili ya watu wengine, lakini hawakuzungumzii.
‎
‎Unawasaidia watu, lakini wewe mwenyewe huna msaada.
‎
‎Unapambana hadi misuli ya akili inachoka, lakini bado maisha yako yanazunguka duara moja.
‎
‎Inaboa, sio?
‎
‎Sasa ngoja nikwambie kitu.
‎Shida sio kwamba huna maarifa, wala hujui unachofanya.
‎
‎Shida ni kwamba unafanya kwa nguvu zako za kawaida tu.
‎
‎Watu wanaopenya kwenye maisha ya mafanikio ni wale waliogundua kuwa NDANI YAO kuna nguvu ya kutenda mambo ya ajabu.
‎
‎Wale waliamua kuamka kiakili, kiroho, na kimatendo.
‎
‎Na hiyo nguvu? Ipo pia ndani yako—unalazimika tu kuifungua.
‎
‎Na hapa ndipo siri ilipo:
‎
‎Kitabu cha UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA ni mwanga kwenye giza la kawaida.
‎
‎Ni mwongozo wa kutoka maisha ya kubahatisha hadi maisha ya kutawala.
‎
‎Utakisoma, utatambua kuwa wewe sio mtu wa kubembeleza mafanikio.
‎
‎Unaweza kuyaamuru yaje kwa matendo yako.
‎
‎Utatenda tofauti, utafikiri tofauti, na maisha yako yataanza kuvutia baraka kama sumaku.
‎
‎Ni kama kuwa na remote ya kubadilisha maisha yako na wewe ndo unashika remote yenyewe.
‎
‎Kuna mtu nilimjua, jina lake ni Halima.
‎
‎Alikuwa kwenye sekta ya urembo, lakini kwa miaka mitatu, alikuwa anajikokota tu.
‎
‎Nilimpatia hiki kitabu nikiwa na uhakika kitawasha moto uliolala ndani yake.
‎
‎Leo hii? Halima ana wateja mpaka wa kuweka appointment wiki moja kabla.
‎
‎Anasema, Ile siku nilianza kuitikia kuwa mimi nina nguvu ya kutenda miujiza, maisha yangu yalibadilika.
‎
‎Na wala hakuhama mtaa, hakubadilisha kazi, alibadilisha tu namna anavyojifikiria na kutenda.
‎
‎Huo ndio mchezo mzima.
‎
‎Sasa Ni Zamu Yako.
‎
‎Umehangaika vya kutosha.
‎
‎Umevumilia vya kutosha.
‎
‎Sasa ni muda wa KUAMKA na KUCHUKUA HATUA.
‎
‎Pata kitabu UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA sasa hivi.
‎

‎Soma, elewa, na tenda… halafu shuhudia miujiza ikitembea kwenye kazi zako, maisha yako, na ndoto zako.
‎
‎Maisha hayabadiliki kwa kusubiri…
‎
‎ Yanabadilika kwa kutenda.
‎
‎Na wewe, una nguvu hiyo.
‎
‎Chukua hatua sasa, leo sio siku ya kuahirisha.
‎
‎Kama unataka kuungana na halima basi ingia hapa 👇
‎
‎https://wa.link/86ex88

‎Karibu.
‎0756694090.

Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan
‎
‎
‎
‎