‎
‎Kaka/Dada…
‎
‎Eti unasema huna muda?
‎
‎Kweli kabisa?
‎
‎Ama ndo ile unasema bado kidogo nianze, nikipata nafasi nitajijenga,
‎
‎ “sina muda saa hizi bro”?
‎
‎Hebu ngoja tukate mzizi wa fitina.
‎
‎Tatizo sio muda, tatizo ni kipaumbele.
‎
‎Unayo dakika 10 za kuscroll TikTok.
‎
‎Unayo saa nzima ya kuangalia episode 3 za Netflix.
‎
‎Unayo muda wa kukaa vijiweni, kuangalia status, na kulalamika.
‎
‎Lakini huna muda wa kujifunza kitu kitakachokutoa hapo ulipo?
‎
‎Huna muda wa kusoma kitabu kitakachokuamsha?
‎
‎Huna muda wa kuji-invest kwenye maisha yako?
‎
‎Basi ujue, hiyo ni hadithi unajisemea ili kuficha uvivu.
‎
‎Hii Tabia Inakuchelewesha, Inakurudisha Nyuma.
‎
‎Na Utailipia Kwa Majuto.
‎
‎Hiyo kauli yako ya sina muda imekufanya upoteze nafasi nyingi sana.
‎
‎Umepoteza maarifa.
‎
‎Umepoteza hela ambazo ungeweza tengeneza.
‎
‎Umepoteza Koneksheni.
‎
‎Na mbaya zaidi….
‎
‎ Unajizoeza kuwa mtu wa kuhairisha maisha.
‎
‎Kila siku unapokimbizana na vitu vya haraka haraka (urgent), unaacha vile vya muhimu (important).
‎
‎Unaishi ukizima moto kila leo, badala ya kujenga mfumo wa kesho.
‎
‎Na ukifikiria vizuri…
‎
‎Ni nani amewahi kutoboa kwa kusema sina muda?
‎
‎Hawatoboi.
‎
‎Hebu Nikufunze Siri Ya Mafanikio Ambayo Haujui.
‎
‎Wale unaowaona wamefanikiwa hawakuwa na muda mwingi.
‎
‎Walitengeneza muda.
‎
‎Waliamua kitu kimoja:
‎
‎”Kama ninaweza kupata muda wa kitu chochote , basi lazima nitafute muda wa kutengeneza maisha bora.”
‎
‎Umezoea kuamini kwamba baadaye nitakuwa free, lakini ukweli ni huu:
‎
‎Hutakuwa huru mpaka uanze kupanga muda wako leo.
‎
‎Hiyo ndoto yako haitatimia kwa kutegemea muda wa ziada.
‎
‎Inahitaji UAMUZI wa kupanga muda kwa akili.
‎
‎Kitabu Cha Muda Upo Ndio Silaha Ya Kuwaweka Kina Sina Muda Sawa.
‎
‎Kitabu hiki sio cha kukusomea hadithi za kufurahisha moyo.
‎
‎Ni kitabu cha kukushikisha adabu.
‎
‎Ni mwanga kwa mtu aliyepotea kwenye pilikapilika.
‎
‎Ni msaada kwa mtu aliyetingwa na maisha.
‎
‎ Lakini bado ana njaa ya kufika mbali.
‎
‎Ukikifunua tu, unajisikia aibu ya kusema sina muda.
‎
‎Kinafundisha jinsi ya kutawala siku zako.
‎
‎Kinafunua wizi unaofanywa na simu yako, TV, na marafiki wa kupoteza muda.
‎
‎Na kikubwa zaidi… kinafungua mlango wa maisha yako mapya.
‎
‎
‎Nataka Nikusimulie Kaka Yangu Aliyebadilika Baada Ya Kuacha Visingizio.
‎
‎Alikuwa anasema niko bize sana, kila siku.
‎
‎Kazi, mihangaiko, watu, simu, kiukweli alikuwa kama robot.
‎
‎Siku moja nikamwambia, soma tu ukurasa 5 wa kitabu hiki cha Muda Upo, kama hakitakubadilisha, nirejeshee.
‎
‎Hiyo siku hakuamka hadi amemaliza kurasa 50.
‎
‎Wiki iliyofuata alianza kupanga siku zake.
‎
‎Leo anafanya kazi, anaendesha biashara yake, na bado anasoma vitabu viwili kwa mwezi.
‎
‎Ananiambia, kile kitabu kilinitoa kwenye usingizi wa kujidanganya.
‎
‎
‎Na Wewe Leo Una Nafasi Ya Kubadili Hali Yako.
‎
‎Sema basi na visingizio.
‎
‎Acha kusema nitafanya kesho.
‎
‎Kesho haipo kwenye kalenda yako kama leo hauna mpango nayo.
‎
‎Pata Kitabu Cha Muda Upo sasa hivi, kabla dakika hii haijapotea.
‎
‎Bonyeza hapa 👇
‎
‎https://wa.link/g1wprc
‎
‎Ujitoe kwenye kundi la niko bize wanaoshindwa kupiga hatua.
‎
‎Muda Upo, Ila Kama Haujautumia, Umepoteza Maisha.
‎
‎Karibu.
‎0756694090.
‎Mkufunzi Ramadhan
‎
‎
‎