‎Kaka/Dada…
‎
‎Wacha nikukumbushe ukweli mchungu…
‎
‎Wateja hawakusahau kwa sababu hawakupendi.
‎
‎Walikusahau kwa sababu wewe mwenyewe uliwasahau!
‎
‎Uliwahi mtumia ofa mara moja, ukapotea.
‎
‎Uliwahi mtumia bidhaa nzuri sana halafu ukaingia mitini.
‎
‎Haujawahi hata kumkumbusha kuhusu bidhaa mpya au punguzo.
‎
‎Halafu unalalamika:
‎
‎*Wateja siku hizi wamekuwa wagumu…*
‎
‎Sio wagumu kaka ni wewe tu umelegea kimawasiliano.
‎
‎Ukiendelea Kusahau Kuwa Kumbusha, Utaendelea Kupoteza Biashara Kwa Mikono Yako Mwenyewe.
‎
‎Wakati unashindana kwenye bei, wengine wanatumia mfumo wa kumbusha SMS.
‎
‎Wanakumbusha:
‎
‎Habari! Leo tuna punguzo la 30% kwa wateja wetu wa zamani.
‎
‎“Ulikuwa hujakamilisha oda yako? Tunakupatia nafasi leo.*
‎
‎Bidhaa ile uliyoulizia, imerudi. Tukuhifadhie moja?*
‎
‎Sasa fikiria… kati ya wewe unayenyamaza kimya, na mwenzako anayekumbusha nani atauza?
‎
‎Jibu unalo.
‎
‎Ngoja Nikufundishe Siri Ambayo Wafanyabiashara Wakubwa Wanatumia  Na Wewe Unaweza Kuiiga Leo.
‎
‎Biashara kubwa hazitegemei kumbukumbu tu ya kichwani.
‎
‎Zinatumia mfumo,
‎
‎Mfumo wa kumbuka SMS.
‎
‎Hii kitu ni simple,
‎
‎Unaweka tu namba za wateja, unapangilia ujumbe, na mfumo wenyewe unawatupia SMS bila wewe kusumbuka.
‎
‎Huwezi kusahau tena.
‎
‎Huwezi kupoteza wateja kwa sababu ya ukimya.
‎
‎Na kila siku, unawakumbusha kwa heshima bila kulazimisha.
‎
‎Na ukitaka kujua ukweli:
‎
‎Mauzo hayaji kwa kubahatisha yanakuja kwa kukumbusha.
‎
‎Suluhisho Lipo.
‎
‎Na Ni Rahisi Kuliko Unavyofikiri.
‎
‎Mfumo wetu wa Kumbuka SMS umeundwa kwa watu kama wewe
‎Unayetaka kuuza bila kulilia.
‎
‎Unayetaka kuwaheshimu wateja, bila kuwa kero.
‎
‎Unayetaka kutumia dakika 3 kupanga ujumbe, halafu mfumo unafanyia kazi masaa 24.
‎
‎Unapojua bidhaa zako ni nzuri kazi yako ni kukumbusha tu kwa staha.
‎
‎Na tunakupa support kila hatua, hata kama hujawahi kutumia teknolojia ya aina hii.
‎
‎Wewe tulia, mfumo ukufanyie kazi.
‎
‎Nataka Nikusimulie Mshikaji Wangu Alivyogeuza Mambo Kwa Kumbuka SMS….
‎
‎Alikuwa na duka la nguo pale mjini.
‎
‎Anapata wateja lakini wanapotea fasta.
‎
‎Nilimwambia, boss, acha nikuwekee mfumo wa kumbusha SMS…
‎
‎Wiki ya kwanza, akawakumbusha wateja 53 waliowahi kununua.
‎
‎Majibu 27 yakarudi.
‎
‎13 wakarudi dukani na kununua.
‎
‎Faida aliyopata – ilizidi gharama ya mwezi mzima wa mfumo!
‎
‎Leo ananiambia:
‎
‎“Bila kumbusha SMS, biashara yangu ilikua kama gari bila taa usiku. Leo naona njia mbele yangu!”
‎
‎Na Wewe Leo Una Nafasi Ya Kuwa Kama Yeye.
‎
‎Acha biashara yako isiwe ya kubahatisha.
‎
‎Acha kusubiri wateja wakumbuke wenyewe.
‎
‎Kumbusha kwa akili.
‎
‎Kumbusha kwa staha.
‎
‎Kumbusha kwa mfumo.
‎
‎Kujua zaidi kuhusu mfumo wa KUMBUKA SMS,
‎
‎Ni rahisi sana, Bonyeza hapa 👇
‎
‎https://wa.link/n65ksb
‎
‎Uone nguvu ya Mfumo wa Kumbuka SMS.
‎
‎Kumbukumbu ni ya binadamu, lakini mauzo ni ya wanaokumbusha.
‎
‎Na wewe unastahili kuwa mmoja wao.
‎
‎Karibu.
‎0756694090.
‎Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan.
‎
‎
‎