
Vunja Laana Ya Umaskini Kwa Kuanzia Hapa….
Kaka, dada, hebu tuambiane ukweli…
Umechoka kuishi kwa mlo mmoja?
Au kila mwisho wa mwezi ni stress tupu?
Mishahara inapita kama upepo.
Biashara haieleweki.
Kuna hela, lakini haikai.
Unafanya kazi kama punda, lakini mfuko ni kama gunia la mbolea lenye mashimo kila kona.
Unajituma, lakini mafanikio yako kama ndoto ya mchana.
Kaka, hiyo siyo laana.
Ni mfumo mbovu wa maisha.
Ni kukosa maarifa sahihi.
Tazama wenzako wanaoanza na elfu moja, Leo wanamiliki vibanda, magari, hadi mashamba.
Wewe bado unatafuta mtu wa kukukopesha buku la kula.
Ni aibu.
Lakini sio kosa lako kabisa.
Ni kwamba wakati unakuwa uliaminishwa kuwa*Ukiwa na hela nyingi, ndo unaweza kuwekeza.*
Na Wewe Ukaamini.
Ulimwengu unabadilika, lakini mtazamo wako umebaki kuwa ule wa miaka ya 70.
Upo kwenye mduara wa mateso pesa inaingia na kutoka bila faida.
Kila mwezi ni kama unaanza maisha upya.
Mpaka lini?
Watu wengi hudhani kwamba ili uanze kujenga utajiri, lazima uwe na mamilioni.
Hapo ndo tunakosea.
Ukweli ni huu:
Hela kidogo ndiyo mwanzo wa hela nyingi.
Tatizo si kwamba huna pesa.
Tatizo ni kwamba hujui namna ya kukitumia kile kidogo ulichonacho.
Huna mfumo.
Huna maarifa.Unakula mtaji, unaua ndoto zako.
Kuna kitabu kinaitwa “Nguvu Ya Buku.”Hiki kitabu hakikufundishi tu kuokoa pesa.
Kinakufundisha kuifanya pesa ikutumikie hata kama ni elfu moja tu.
Utaanza kuona mabadiliko kuanzia siku ya kwanza.
Unajifunza:
– Jinsi ya kutunza elfu moja kwa staili ya mtaani.
– Jinsi ya kuigeuza kuwa mtaji.
– Na namna ya kuiendeleza kuwa mnyororo wa fedha isiyoisha.
Hiki siyo kitabu cha mafumbo.
Ni mwongozo wa maisha mapya.
Na ni kwa watu kama wewe.
Watu wa mtaa.
Watu wanaotaka kuinuka.
Ndugu yangu Sam alinitumia meseji ya manung’uniko.
Mkuu, nimekata tamaa.
Kila nikianza kuokoa, mwisho naishia kuomba tena.
Sijui nifanyeje.”Nikamtumia “Nguvu Ya Buku”.
”Wiki mbili baadaye, akanitumia picha – ameanza kuuza maandazi na juice.
Mwezi mmoja baadaye, akaniambia:
*Buku lilimbadilisha*.
”Leo ana duka dogo la vyakula.Anapanga kufungua la pili”
Hiyo nguvu ya mabadiliko si ya kiroho ni ya maarifa.
Maarifa yapatikanayo kwenye kitabu hiki.
Usingoje mshahara mwingine ukufikishe kwenye msongo tena.
Usingoje upate milioni ndo uanze.
Anza na hiyo buku.
Buku yako ya leo inaweza kuwa sababu ya uhuru wako wa kesho.
Chukua Nguvu Ya Buku sasa hivi.Jifunze siri ya hela.
Jivue kongwa la umasikini.
Buku moja, maisha mapya.Ni kama bahati kwako leo hii,
Utaungana na wenzako 468,
Kwa mfano ukinunua kitabu hiki cha NGUVU YA BUKU,
Unapata Kozi Ya Nguvu Ya Buku,
Bure Kabisa.
Kupata vyote viwili hivi (2),
Leo.Ingia hapa 👇 *https://wa.link/n7wf4y*
Au Tuma ujumbe *NATAKA NGUVU YA BUKU*
Kwenda 0756694090.
Karibu.
0756694090.
Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan.