‎Basi tayari uko hatarini.
‎
‎Kakaa/Dadaa…
‎
‎Umemuuzia nani wiki hii?
‎
‎Wateja wanaojirudia ni kina nani?
‎
‎Mauzo yamepanda au yameshuka mwezi huu?
‎
‎Na hela zako ziko wapi?
‎
‎Usijibu. Najua hujui.
‎
‎Tatizo Ni Hili…
‎
‎Biashara nyingi zinapoteza hela kimyakimya.
‎
‎Sio kwa sababu bidhaa ni mbaya.
‎
‎Sio kwa sababu wateja hawapo.
‎
‎Ni kwa sababu mmiliki hajui kinachoendelea.
‎
‎Hana mfumo. Hana kumbukumbu. Hana hesabu.
‎
‎Anategemea kichwa.
‎
‎Kumbuka: Kichwa sio computer. Kinaweza sahau.
‎
‎Na Mbaya Zaidi…
‎
‎Ukishaanza kusahau, biashara inaanza kufa.
‎
‎Unauza lakini hauoni faida.
‎
‎Unalipa wafanyakazi lakini huelewi kwa nini pesa haibaki.
‎
‎Una wateja, lakini hawarudi tena.
‎
‎Hujui kwanini walikuja… wala kwanini wameondoka.
‎
‎Unalipa kodi kwa makadirio.
‎
‎Unaumia kimya kimya.
‎
‎Hebu Tuambiane Ukweli…
‎
‎Biashara bila Mfumo wa Mauzo CRM na Accounting ni sawa na gari bila dashboard.
‎
‎Hujui mafuta yako yamebaki kiasi gani.
‎
‎Hujui speed yako.
‎
‎Hujui kama injini inachemka.
‎
‎Mwisho wake? Gari linawaka moto barabarani.
‎
‎Na biashara yako nayo? Itaungua huku ukiangalia.
‎
‎Hebu Nikufunze Kidogo…
‎
‎Mauzo CRM ni Mfumo wa kuwasiliana, kuhifadhi, na kufuatilia wateja.
‎
‎Unajua nani alinunua.
‎
‎Nani alipiga simu.
‎
‎Nani alisema “nirudie wiki ijayo.”
‎
‎Nani anakudai.
‎
‎Unamjua mteja wako kama anavyojijua mwenyewe.
‎
‎Accounting system inakusaidia kujua:
‎
‎Mapato
‎
‎Matumizi
‎
‎Faida
‎
‎Madeni
‎
‎Kodi ya kulipa
‎
‎Hakuna ubashiri. Ni ukweli mtupu.
‎
‎Usinidanganye Ukiwa Na Notebook Tu!
‎Karatasi hupotea.
‎
‎Watu huandika juu ya daftari lako.
‎
‎Na ukiumwa siku moja, biashara husimama.
‎
‎Siku hizi, kuna mfumo unapatikana hata kwenye simu.
‎
‎Rahatupu.
‎
‎Unaona kila kitu kwa kubonyeza mara moja.
‎
‎Wateja. Mauzo. Matumizi.
‎
‎Na unaweza fanya maamuzi kwa data sahihi.
‎
‎Ngoja Nikupigie Story Ya Mdau Mmoja…
‎
‎Anaitwa Juma.
‎
‎Alikuwa na duka la vifaa vya ujenzi.
‎
‎Alikuwa anauza sana.
‎
‎Lakini kila mwisho wa mwezi, alikuwa broke.
‎
‎Mke wake alifikiri ana wake wa nje.
‎
‎Watu walimwita milionea wa midomo.
‎
‎Siku moja akakutana na kijana mmoja kwenye semina.
‎
‎Akamwambia: Bila mfumo, utafilisika ukiwa unaangalia.
‎
‎Akaanza kutumia Mauzo CRM & Accounting system.
‎
‎Baada ya miezi 3, alijua:
‎
‎Bidhaa zipi zinaingiza hela
‎
‎Wateja gani wanarudia sana
‎
‎Matumizi yasiyo ya lazima
‎
‎Leo hii?
‎
‎Ana maduka matatu.
‎
‎Anasafiri nje ya nchi.
‎
‎Na mke wake anatembea kifua mbele mitaani.
‎
‎Sasa Ni Zamu Yako…
‎
‎Usiendelee kuwa mjanja wa mdomoni na maskini wa mfumo.
‎
‎Biashara yako inastahili mfumo bora.
‎
‎Mfumo Wa Mauzo CRM & Accounting system sio gharama.
‎
‎Ni silaha ya mjasiriamali wa kweli.
‎
‎Anza leo.
‎
‎Usikose kesho yako kwa sababu ya kichwa chako.
‎
‎Usingoje Kuungua Ndiyo Utafute Kizima Moto!
‎
‎Chukua hatua sasa.
‎
‎Pata mfumo wa Mauzo CRM & Accounting leo,
‎
‎…uanze kuona biashara yako kwa macho ya data, sio hisia.
‎
‎Kupata mfumo huu tuma ujumbe NATAKA MFUMO WA MAUZO
‎
‎Kwenda NAMBA 0756694090.
‎
‎Hii si gharama. Ni uwekezaji wa akili.
‎
‎Tunaweka mfumo. Unavuna faida.
‎
‎Usiendelee kuwa mjanja bila mpango.
‎
‎Karibu.
‎Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan.
‎
‎
‎
‎