
Kwa Wale Waliochoka Kuishi Maisha Ya Kawaida.
Kakaa/ Dadaa Yangu…
Unajua shida ni nini?
Watu wengi wanataka mafanikio.
Lakini hawajui mafanikio huja vipi.
Wanadhani ni bahati.
Au pesa.
Au connection.
Lakini ukweli ni huu…
Kuna UBATIZO.
Ndio, ubatizo wa mafanikio.
Kabla hujaishi maisha ya ndoto zako…
Lazima kupitia moto.
Lazima kutakaswa.
Lazima kubadilishwa.
Shida iko hapa…
Watu hawapendi maumivu.
Watu wanakimbia misukosuko.
Lakini ndiyo hiyo hiyo inayozaa mafanikio.
Kama hujapitia tabu, hujabatizwa.
Na bila ubatizo ,huwezi kupewa.
Huwezi kuaminiwa na mafanikio.
Ngoja nikuambie kitu.
Kama bado unalia bila mtu kukuonea huruma…
Kama bado unahangaika lakini hakuna anayekusaidia…
Kama bado unakazana lakini matokeo hayaji…
Basi usikate tamaa.
Unapitishwa.
Unaundwa.
Unatengenezwa.
Lakini pia…
Kuna njia rahisi kidogo.
Sio shortcut, lakini ina mwanga.
Ni mwongozo.
Ni msaada wa kiakili, kiroho na kimatendo.
Kuna Kitabu kinaitwa…
MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO.
Hiki si kitabu cha porojo.
Ni ramani.
Ni namba ya siri.
Ni mwali wa ndani kabisa wa yale mafanikio ambayo hayasemwi.
Wewe nadhani humjui…
Kuna mtu alikua anauza miwa barabarani.
Kila mtu alimwona wa kawaida.
Lakini akapata mwongozo huu…
Leo anaagiza bidhaa kutoka nje.
Anafundisha wengine.
Anaishi maisha ambayo wale wote waliokuwa wakimcheka na kumsema,
“Mbona huyu ataishia tu kuwa muhudumu wa boda boda”
Leo wanamuheshimu sana, na wanamuomba ushauri.
Ujue ukweli…
Tunakosea sana…
Tunaiga maisha ya watu.
Tunafuata kelele mitandaoni.
Tunasahau maisha yana misingi yake.
Mafanikio yana sheria zake.
Na unakutana na sheria 100 za maisha ya mafanikio humo ndani.
Kama uko tayari…
Kupitia ubatizo wa mafanikio…
Kupitia hatua kwa hatua…
Kuelewa kwa undani…
Na hatimaye kuibuka mpya…
Basi chukua kitabu hiki.
Sio kwa sababu unakiweza.
Bali kwa sababu una KIHITAJI.
MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO
Sio tu kitabu.
Ni kama daktari wa maisha.
Ni kama kocha wa roho.
Ni kama rafiki wa kweli, anayekuambia:
”Simama. Tembea. Usiogope.”
Bonyeza hapa 👇
https://wa.link/vfgg7s
Kupata nakala yako kabla hazijaisha.
Na ujitayarishe kwa UBATIZO…
Maisha yako yatageuka kuwa ushuhuda.
Karibu.
0756694090.
Hii Makala Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan Amir.