‎
‎‎Kakaa/Dadaa Yangu…
‎
‎Unajituma.
‎Unaamka mapema.
‎Unajitangaza kila kona.
‎Lakini bado…
‎Mauzo yako yapo pale pale.
‎
‎Wateja wanapita…
‎Wanatazama…
‎Wanacheka kidogo…
‎Halafu wanasepa bila kununua.
‎Inakera, sio?
‎
‎Wewe Sio MZEMBE, Ila Unajua Nini Unakosea?
‎
‎Biashara sio kupiga kelele tu.
‎Sio kuweka bidhaa Instagram kila siku.
‎Wateja hawataki kuuziwa.
‎Wanataka kushawishiwa.
‎
‎Na kama hujui njia ya kuwashawishi…
‎Utawatazama tu wakinunua kwa jirani.
‎
‎
‎Watu Wengi WANADANGANYWA…
‎
‎Wanambiwa:
‎
‎“Tangaza zaidi.”
‎“Tengeneza logo kali.”
‎“Fungua TikTok.”
‎
‎Lakini bado…
‎Mauzo hayapandi.
‎
‎Kwani shida iko wapi?
‎Shida siyo bidhaa.
‎Shida ni lugha unayotumia kuuza.
‎
‎Suluhisho Liko HAPA…
‎
‎Kitabu cha CHUO CHA MAUZO
‎Hakifundishi tu kuuza.
‎Kinakufundisha namna ya kumvuta mteja kwa maneno.
‎
‎Unajifunza:
‎
‎Jinsi ya kupata wateja wengi tarajiwa.
‎
‎Jinsi ya kumtenganisha mteja na fedha zake.
‎
‎Namna ya kumshawishi mtu hata kama alikuwa hana mpango wa kufanya kile ulichomtaka afanye, hapo kabla.
‎
‎Mbinu za kuuza bila kuomba.
‎
‎Kuongea na mteja hadi aseme “NIUZIE!”
‎
‎Hiki sio kitabu cha nadharia.
‎Ni silaha ya mjasiriamali.
‎
‎Soma Stori Hii Fupi…
‎
‎Mwaka 2024…
‎
‎Kuna jamaa kariakoo alikuwa na duka la nguo.
‎Kila siku anakaa hadi saa tatu usiku.
‎Mauzo? Ya kuvunja moyo.
‎
‎Alijua biashara haimlipi.
‎Aliwaza kufunga.
‎
‎Siku moja akapata mkononi kitabu cha CHUO CHA MAUZO.
‎
‎Alikisoma usiku kucha.
‎
‎Kesho yake akaanza kutumia maneno ya ushawishi aliyoyakuta Kwenye module ya 6.
‎
‎Ukurasa Wa 316.
‎
‎Akaanza kugusa maumivu ya mteja.
‎
‎Wiki moja baadaye, wateja wakaanza kumiminika kama mvua.
‎
‎Mmoja akamwambia:
‎“Nimekuja kwa sababu umenishawishi na umegusa maumivu yangu”
‎
‎Leo?
‎Anafungua saa 1 asubuhi.
‎Anapiga mauzo ya maana kabla ya saa 7 mchana.
‎
‎Alisema hivi:
‎“Sikubadilisha bidhaa, nilibadilisha lugha yangu ya kuuza.”
‎
‎Na Wewe UNAWEZA…
‎
‎Unahitaji tu kupiga hatua moja ya busara.
‎Usingoje hadi hali iwe mbaya zaidi.
‎
‎Kama kweli unataka kuona mauzo yakikua mara mbili zaidi.
‎
‎Chukua kitabu hiki leo.
‎
‎Kitabu chenyewe kinajiuza.
‎Lakini ukikisoma,
‎
‎Utajua kuuza hata jiwe kwa bei ya dhahabu.
‎
‎Na kwasababu Leo ni Happybirthday ya Kocha Dr Makirita Amani, Unakipata Kwa Ofa ya Tshs 29,999 TU Badala Ya Tshs 50,000 Nzima.
‎
‎Basi bonyeza hapa 👇
‎
‎https://wa.link/vu58hn
‎
‎Karibu.
‎0756694090.
‎Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,

Mkufunzi Ramadhan Amir.
‎
‎
‎
‎