‎Iokoe Leo Kabla Hujachelewa. 🔥

🔥
‎
‎Rafiki Yangu Mpendwa,
‎
‎Unawahi kuamka asubuhi, simu imejaa meseji za wateja.
‎
‎Mwingine anakudai risiti, mwingine anataka kujua taarifa ya oda yake.
‎
‎Halafu kuna yule wa jana uliahidi kumpigia, ukasahau.
‎
‎Mmoja alikuwa serious kununua lakini hujui ni yupi!
‎
‎Kibaya zaidi, hela zinapita mikononi, lakini hujui zinakwenda wapi.
‎
‎Rafiki, biashara si kubahatisha. Biashara ni mfumo.
‎
‎Na kama hauna mfumo wa CRM & Accounting, unacheza na moto.
‎
‎CRM inakumbuka kila mteja, historia yake, malalamiko yake, na tabia yake ya kununua.
‎
‎Accounting inakuonyesha hela inayoingia na inatoka vipi – live!
‎
‎Hujawahi kuibiwa hela na cashier?
‎
‎Hujawahi kushangaa mwezi umeisha hela imeenda wapi?
‎
‎Hujawahi kuona wateja wako wanapotea kimya kimya kwa washindani?
‎
‎Yaani, unahisi kuna mashimo kwenye ndoo yako ya biashara, maji yanamwagika kila siku!
‎
‎Unadanganywa na maneno matamu ya “tunakuandikia kwenye daftari”,
‎
‎Lakini faida hupati.
‎
‎Kila siku ni kusuasua, kurudia, kusahau, kukimbizana na risiti, na kuomba Mungu.
‎
‎
‎Sawa. Wengi wanadhani biashara ni kuuza tu.
‎
‎Kutoa tu bidhaa, basi hela imeingia.
‎
‎Wanakosea!
‎
‎Kuuza ni hatua moja.
‎
‎Kumjua mteja, kumtunza, kumrudisha tena, na kufuatilia hela zako hiyo ndiyo biashara.
‎
‎Daftari?
‎Excel?
‎Notes za simu?
‎Zote hizo ni “zama za mawe” kwenye dunia ya biashara.
‎Unajichelewesha mwenyewe.
‎
‎Unakata tamaa mapema.
‎Na unawapa washindani wako nafasi ya kukuacha mbali.
‎
‎Sasa sikia vizuri kaka/dada…
‎
‎Mfumo wa CRM & Accounting ni kama kuwa na msaidizi asiyechoka.
‎
‎Anakumbuka kila mteja wako, hata wale uliowasahau.
‎
‎Anakutengenezea ripoti ya kila mauzo na matumizi.
‎
‎Anakukumbusha madeni, anakuonyesha bidhaa zinazouzwa zaidi.
‎
‎Anakupigia hesabu zako kila mwisho wa mwezi.
‎
‎Anakupa picha kamili ya biashara yako usiku na mchana.
‎
‎Unapanga, unaona, unajua.
‎Hakuna kubahatisha tena.
‎Unaanza kuuza kisayansi siyo kihisia.
‎
‎Namkumbuka jamaa mmoja anaitwa Nixon.
‎Alikuwa anaendesha duka la vipodozi Sinza.
‎
‎Mwaka 2023, alikuwa anatumia daftari na simu yake kuwahifadhi wateja.
‎
‎Alikuwa anasema, “Mimi nawaweza tu kichwa kwa kichwa.”
‎
‎Mwaka ukaisha, hajui alipata faida kiasi gani.
‎Wateja walianza kulalamika,
‎
‎ Nixon Umenisahau!
‎
‎Mwingine akasema, Uliniahidi discount!
‎Nixon akaanza kuchoka, akataka kuuza duka.
‎
‎Mwaka 2024, akakubali ushauri.
‎
‎Akaingia kwenye mfumo wa Mauzo CRM & Accounting.
‎
‎Leo Nixon ana dashboard anaangalia kila kitu kwa clicks chache tu.
‎Wateja wake wanarudi.
‎
‎Wengine wanamtumia referrals.
‎Yeye mwenyewe ana amani.
‎
‎Anajua biashara yake iko mikononi mwa mfumo, siyo kihisia tena.
‎
‎Hii si zama za kumbukumbu kichwani.
‎
‎Hii si zama za kubahatisha na daftari.
‎
‎Hii ni zama za Mauzo CRM & Accounting.
‎Unataka kuuza kwa akili?
‎Unataka wateja warudi tena na tena?
‎
‎Unataka hela zako ziwe na mwelekeo?
‎
‎Basi anza kutumia mfumo wa Mauzo CRM & Accounting leo.
‎
‎Ukiendelea kutumia daftari, usilalamike ukipoteza biashara.
‎
‎Kama Nixon aliweza hata wewe unaweza.
‎Ni wakati wa kuwa mjanja kibiashara.
‎
‎Usifanye kazi ya watu watatu, wakati mfumo unaweza kukusaidia bila kulalamika.
‎
‎🛑 Sasa ni wakati wa kufanya uamuzi wa kishujaa kwa biashara yako.
‎
‎Ukiendelea kuahirisha, ndivyo unavyoiangalia ikififia kidogo kidogo hadi iishe kabisa.
‎
‎Tuma Meseji 💬 “Nataka MFUMO WA MAUZO CRM & Accounting”
‎
‎Kwenda 0756694090.
‎
‎Au bonyeza hapa 👇
‎
‎https://wa.link/fes44q
‎
‎Nitakupa ushauri wa bure, bila longolongo.
‎
‎Nitakuonyesha mfumo bora ambao unaweza kubeba biashara yako kutoka kuwa usumbufu hadi utulivu.
‎
‎📲 Tuma ujumbe sasa hivi kabla mshindani wako hajasoma makala hii pia.
‎
‎Usisubiri kuzika ndoto zako zifufue kwa mfumo sahihi!
‎
‎Karibu.
‎0756694090.
‎Hii Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
‎Mkufunzi Ramadhan
‎
‎
‎
‎
‎
‎
‎
‎
‎
‎
‎
‎
‎