
NGUVU YA BUKU TOTO
Watoto wengi wanapewa pesa, lakini hawafundishwi kuitumia.
Wanajifunza matumizi, si utajiri.
Hapo ndipo hatari inapoanzia.
NGUVU YA BUKU TOTO* ni kitabu kipya kinachomfundisha mtoto wako kutumia hela kwa akili.
Anafundishwa kuokoa, kuwekeza, na kuanzisha biashara ndogo kwa kutumia buku tu.
Ni msingi wa mafanikio ya kifedha mapema.
Uzinduzi rasmi ni tarehe 14/06/2025.
Usikubali mtoto wako akikose.
Bonyeza hapa 👇
https://wa.link/2x7eqq
Kujua zaidi.
📞 0756 694 090
Elimu ya pesa inaanza sasa.