‎Rafiki Yangu…
‎Hebu ngoja nikuulize swali moja dogo tu…
‎
‎Ulishawahi kujiuliza kwanini watoto wa matajiri wanajua kuzungumza kuhusu pesa wakiwa na miaka 7 tu…
‎
‎Wakati watoto wetu wengi hawajui hata hela inafanyiwa nini zaidi ya kuomba pipi au chips?
‎
‎Sio kosa la mtoto.
‎Na ukweli ni huu:
‎Shule hazifundishi elimu ya pesa.
‎
‎Leo nataka nikuoneshe kitu cha kipekee kabisa…
‎
‎Program mpya.
‎Program ya nguvu.
‎Program ya Nguvu ya Buku Toto.
‎
‎Hii ni kwa ajili ya mtoto wako ,kama bado yuko chini ya miaka 18.
‎Ni elimu ya pesa.
‎Ni mafunzo ya uwekezaji.
‎Kwa lugha ya watoto.
‎Kwa njia rahisi, ya kiburudani, na ya kimataifa.
‎
‎
‎Lakini ngoja nikupe ukweli unaouma kidogo…
‎
‎Mtoto asiyejua kuhusu pesa,
‎Kesho anakua mtu mzima anayehangaika na mikopo, deni, maisha magumu, na maisha ya kubahatisha.
‎Yaani maisha yanamgeuza kuwa mtumwa.
‎
‎Wakati wenzake waliopata elimu ya pesa wakiwa wadogo,
‎Wanakuwa watu wa kutegemewa.
‎Wanainvest.
‎Wanafungua biashara.
‎Wanamiliki mali.
‎
‎Na bado ni vijana wadogo tu.
‎
‎
‎Sasa hebu nikufundishe kitu kingine muhimu…
‎
‎Unaweza kusema,
‎Mbona shule wanajifunza sana, hawana muda na vitu kama hivi?
‎
‎Lakini ukweli ni huu:
‎Shule haitamfundisha mtoto wako namna ya kuingiza kipato.
‎Shule haina somo la “Jinsi ya kufungua akaunti ya uwekezaji.”
‎Hawatawahi kumfundisha “jinsi ya kutumia elfu 5 kuanza biashara.”
‎
‎Na ndiyo maana Nguvu Ya Buku Toto ipo.
‎
‎Na hii video inakufunulia ukweli wote,
‎
‎Jionee mwenyewe hapa 👇….
‎
‎https://youtu.be/8KbwhpmIMPQ
‎
‎Program hii inazinduliwa rasmi…
‎
‎📍 Tarehe 14 June 2025
‎📍 Dar es Salaam
‎📍 Unaweza fika mwenyewe – au ukaunganishwa live kwa mtandao.
‎
‎Mtoto wako atapata nini?
‎
‎✅ Vitabu vya fedha vya watoto
‎✅ Workbook ya mazoezi ya kifedha ya watoto
‎✅ Nafasi ya kufunguliwa akaunti ya uwekezaji
‎✅ Mafunzo ya namna ya kutumia pesa kwa busara
‎✅ Uwezo wa kutengeneza kipato hata akiwa bado shuleni
‎
‎
‎Ngoja nikuambie story moja ya kweli…
‎
‎Mama mmoja alileta mwanae kwenye mafunzo kama haya mwaka jana.
‎Mtoto alikuwa na miaka 15 tu.
‎Leo hii, yule mtoto anauza stationery online.
‎Amefungua akaunti ya akiba.
‎Ana mipango.
‎Ana maono.
‎
‎Na bado ana miaka 11 tu.
‎
‎Mama yake anasema,
‎”Sijawahi kumwona akiwa serious namna hii kwenye maisha.”
‎
‎Na wewe je?
‎
‎Utakaa kimya mtoto wako akijifunza TikTok na kucheza Free Fire tu?
‎Au utampa zawadi ya maisha elimu ya pesa mapema?
‎
‎Karibu kwenye uzinduzi wa Nguvu ya Buku Toto.
‎Usikose nafasi hii ya kipekee kwa ajili ya mtoto wako.
‎
‎👉 Tumia taarifa zilizo hapo juu kujisajili.
‎👉 Usisubiri siku ya mwisho.
‎
‎Mtoto wa kesho bora, hujengwa na mzazi wa leo mwenye maamuzi sahihi.
‎
‎Muhimu;  Kama bado hujajisajili,
‎
‎Unajipunja.
‎
‎Wahi nafasi yako ipo hapa 👇
‎
‎https://wa.link/qghfsv
‎
‎Karibu.
‎Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
‎Mkufunzi Ramadhan Amir.


‎
‎
‎
‎
‎
‎