
🔥Ofa ya NGUVU YA BUKU TOTO Kwa Tshs 50,000 Tu Badala Ya Tshs 100,000 Nzima,
Mwisho ni Tarehe 30 June! 🔥
Rafiki Yangu Mpendwa,
Je, umewahi kujuta kwa kuchelewa kuchukua hatua ndogo iliyogeuza maisha ya wengine kuwa miujiza?
Fikiria mtoto wa miaka 12 anayeanza kujifunza kuwekeza. Na baada ya miaka 5, ana fedha zake benki.
Sasa fikiria mtoto wako au mdogo wako. Ana nafasi hii. Lakini atakosa… kwa sababu hukuchukua hatua.
Leo nitakuonyesha jinsi watoto walioanza mapema kutumia “NGUVU YA BUKU TOTO” wanavyojifunza kuweka akiba, kuwekeza, na kujenga tabia za mamilionea – kabla ya hata kufikisha umri wa miaka 18!
Na nitakuambia ni kwa nini wale walioshiriki uzinduzi wana bahati isiyo ya kawaida.
Tazama miaka michache ijayo… Mtoto wako ana ndoto zake, hana hofu ya maisha.
Ana akaunti yake ya akiba. Anaelewa matumizi. Ana nidhamu ya fedha.
Ana maarifa ya kuanzisha biashara yake mwenyewe akiwa na miaka 15 tu.
Wakati wenzake wanahangaika kutafuta hela ya vocha, yeye anajua jinsi ya kutengeneza kipato.
Katika mwaka uliopita, watoto zaidi ya 3,000 waliotumia programu ya NGUVU YA BUKU TOTO wamejifunza kuweka akiba, kuandika malengo ya kifedha, na kuanzisha miradi midogo midogo.
Mzazi mmoja alisema:
Mtoto wangu alinitisha. Alinichora bajeti ya matumizi ya nyumbani. Na akaniambia, ‘mama, tunaweza kuokoa elfu 10 kila wiki!
Hii ndiyo nguvu ya maarifa mapema.
Sasa walioshiriki uzinduzi wa NGUVU YA BUKU TOTO wamepata nafasi ya kipekee.
Kwa Tshs 50,000 tu (badala ya 100,000), wanapata PAKIJI MAALUMU YA MWAKA MZIMA yenye:
✅ Kitabu Kipya Cha NGUVU YA BUKU TOTO
✅ Kitabu Kazi (Workbook) cha vitendo
✅ Masomo Ya Kila Wiki (Wiki 50)
✅ Ufuatiliaji wa karibu kwenye uwekezaji wa nidhamu
✅ Uanachama rasmi wa NGUVU YA BUKU TOTO kwa mwaka mzima
Watoto hawa wanapata mfumo wa kuwajenga kuwa kizazi cha kesho kilicho imara kifedha.
Lakini kuna jambo moja la MUHIMU sana…
OFA HII YA TSHS 50,000 ITAKOMA TAREHE 30 JUNE 2025.
Kuanzia tarehe 1 July, bei itarudi kuwa Tshs 100,000 kamili.
Hii si ahadi ya kurudi nyuma. Hii si ya kuchelewa.
Kama ulishiriki uzinduzi lakini hujachukua hatua, HATIMA YA MTOTO WAKO INAANGALIA JICHO KWA JICHO UAMUZI WAKO SASA.
💥 Dakika moja ya uamuzi sasa, inaweza kujenga maisha 50 ya mafanikio kwa mtoto wako!
Usikubali afungwe na umaskini wa maarifa kwa sababu ya kuchelewa.
Tuma neno NGUVU YA BUKU TOTO sasa hivi.
Kwenda 0756694090.
Lipia Tshs 50,000 kabla ya 30 June.
Uje kuwa mzazi, mlezi, au mdau aliyebadilisha maisha ya mtoto mmoja… milele. 🌱📘
Karibu.
Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana.
Mkufunzi Ramadhan Amir