
Hebu waza kidogo kaka…
Mtoto wa miaka 9, ananunua chipsi na pesa alizozalisha mwenyewe!
Si hela ya mzazi.
Si sadaka ya shangazi.
Ni buku lake mwenyewe.
Sasa jiulize, mtoto wako anazalisha nini?
Leo nakufundisha kitu ambacho wengi hawajawahi kufikiria:
Jinsi ya kumfundisha mtoto wako kuanza kuzalisha pesa kuanzia buku hadi laki!
Na wala huhitaji mtaji wa milioni.
Unahitaji kitabu tu ,Cha Nguvu Ya Buku Toto.
Mtoto wako anakuambia,
Dadii, usinipatie hela leo, nimeuza na nimepata buku tano.
Anajua bei, anajua faida, anajua kuweka akiba.
Kila jioni anafanya hesabu.
Kila mwezi ana mpango.
Na baada ya miaka miwili tu…
Anakuwa na akaunti ya benki,
Ana hisa kwenye mradi mdogo wa familia,
Na kila mtu anamuona kama role model mdogo.
Tuna watoto zaidi ya 100 waliopitia programu ya Nguvu Ya Buku Toto.
Wameuza vitu vidogo kama pipi, accessories, hata huduma za kusaidia kazi nyumbani kwa malipo.
Wengine wamejifunza kuandika vitabu vyao!
Hawa si watoto wa matajiri.
Ni watoto wa kawaida, lakini wenye misingi sahihi.
Msingi wa kufikiri kama mjasiriamali mdogo.
Mafunzo haya yanafundisha mtoto:
Kuelewa thamani ya pesa.
Kufikiri kama mtoaji suluhisho, si ombaomba.
Kutengeneza bidhaa ndogo ndogo zinazouzwa shuleni au mtaani.
Kuandika lengo lake la pesa kila mwezi.
Na kujifunza kuweka akiba kwa njia ya michezo!
Hii si hadithi ya kusisimua tu.
Ni mfumo.
Ni kitabu kazi.
Ambacho kimetengenezwa mahsusi kwa mtoto wa Kitanzania wa sasa.
Kaka usingoje mtoto akue ili aombe kazi.
Mfanye aweze kujiajiri hata akiwa darasa la tano.
Chukua vitabu hivi viwili:
1. Nguvu Ya Buku Toto
2. Nguvu Ya Buku Toto – Kitabu Kazi

Kwa bei ya Tsh 20,000 tu kila kimoja!
Au chukua package yote kwa Tsh 50,000 tu badala ya Tsh 100,000.
Ofa hii inaisha tarehe 30 Juni!
Usimwache mtoto wako awe mtegemezi, wakati anaweza kuwa mzalishaji.
Anza leo. Anza sasa. Anza na Nguvu Ya Buku Toto.
Kwa sababu mtoto wako ana uwezo mkubwa anahitaji tu kuamshwa!
Kupata vitabu hivi bonyeza hapa
👇👇👇
https://wa.link/y14f5h
Kwa kununua vitabu hivi, unamwekea mtoto wako msingi wa ubilionea.
Karibu.
Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
Mkufunzi Ramadhan Amir.