‎Hebu waza kidogo kaka…
‎Mtoto wa miaka 9, ananunua chipsi na pesa alizozalisha mwenyewe!
‎Si hela ya mzazi.
‎Si sadaka ya shangazi.
‎Ni buku lake mwenyewe.
‎Sasa jiulize, mtoto wako anazalisha nini?
‎
‎Leo nakufundisha kitu ambacho wengi hawajawahi kufikiria:
‎Jinsi ya kumfundisha mtoto wako kuanza kuzalisha pesa kuanzia buku hadi laki!
‎Na wala huhitaji mtaji wa milioni.
‎Unahitaji kitabu tu ,Cha Nguvu Ya Buku Toto.
‎
‎Mtoto wako anakuambia,
‎Dadii, usinipatie hela leo, nimeuza na nimepata buku tano.
‎
‎Anajua bei, anajua faida, anajua kuweka akiba.
‎Kila jioni anafanya hesabu.
‎Kila mwezi ana mpango.
‎Na baada ya miaka miwili tu…
‎
‎Anakuwa na akaunti ya benki,
‎Ana hisa kwenye mradi mdogo wa familia,
‎Na kila mtu anamuona kama role model mdogo.
‎
‎Tuna watoto zaidi ya 100 waliopitia programu ya Nguvu Ya Buku Toto.
‎Wameuza vitu vidogo kama pipi, accessories, hata huduma za kusaidia kazi nyumbani kwa malipo.
‎
‎Wengine wamejifunza kuandika vitabu vyao!
‎Hawa si watoto wa matajiri.
‎Ni watoto wa kawaida, lakini wenye misingi sahihi.
‎Msingi wa kufikiri kama mjasiriamali mdogo.
‎
‎Mafunzo haya yanafundisha mtoto:
‎
‎Kuelewa thamani ya pesa.
‎
‎Kufikiri kama mtoaji suluhisho, si ombaomba.
‎
‎Kutengeneza bidhaa ndogo ndogo zinazouzwa shuleni au mtaani.
‎
‎Kuandika lengo lake la pesa kila mwezi.
‎
‎Na kujifunza kuweka akiba kwa njia ya michezo!
‎
‎Hii si hadithi ya kusisimua tu.
‎Ni mfumo.
‎Ni kitabu kazi.
‎Ambacho kimetengenezwa mahsusi kwa mtoto wa Kitanzania wa sasa.
‎
‎Kaka usingoje mtoto akue ili aombe kazi.
‎Mfanye aweze kujiajiri hata akiwa darasa la tano.
‎Chukua vitabu hivi viwili:
‎
‎1. Nguvu Ya Buku Toto
‎2. Nguvu Ya Buku Toto – Kitabu Kazi


‎Kwa bei ya Tsh 20,000 tu kila kimoja!
‎Au chukua package yote kwa Tsh 50,000 tu badala ya Tsh 100,000.
‎Ofa hii inaisha tarehe 30 Juni!
‎
‎Usimwache mtoto wako awe mtegemezi, wakati anaweza kuwa mzalishaji.
‎Anza leo. Anza sasa. Anza na Nguvu Ya Buku Toto.
‎Kwa sababu mtoto wako ana uwezo mkubwa anahitaji tu kuamshwa!
‎
‎Kupata vitabu hivi bonyeza hapa
‎
‎👇👇👇
‎https://wa.link/y14f5h
‎
‎Kwa kununua vitabu hivi, unamwekea mtoto wako msingi wa ubilionea.

Karibu.

Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,

Mkufunzi Ramadhan Amir.
‎
‎
‎