
Kutegemea Na Kitu Kimoja Unachofanya Leo!
Rafiki Yangu Mpendwa,
Leo mtoto wako ana miaka 7.
Anaomba hela ya soda, ya juice, ya chipsi, ya kubet, ya kununua skin za game.
Kila siku ni kuomba.
Anajua akilia kidogo tu, anapewa Hela.
Sasa swali ni moja:
Unamfundisha matumizi au nidhamu ya matumizi?
Watoto wengi wanalelewa kama mizunguko ya matumizi.
Wanazoea pesa ni ya kutumia tu.
Hawajui maana ya “kupanga bajeti”, “kuhifadhi”, wala “kusubiri”.
Kosa kubwa ni hili:
Tunaamini elimu ya matumizi ni kwa watu wazima tu.
Lakini ukweli ni huu:
Watoto wanahitaji kujua pesa mapema kuliko TikTok.
Kama hutamfundisha sasa, dunia itamfundisha vibaya.
Na dunia haifundishi kwa huruma.
Anakuja kuwa kijana wa miaka 21, anafanya kazi wiki nzima, lakini pesa yote inaishia kwa “kujispoil”.
Hana nidhamu. Hana akiba. Hana malengo.
Na alipojifunzia hayo?
Utoto wake.
Wengine watasema, “Basi wacha afurahie utoto wake.”
Hapana bwana.
Kumfundisha matumizi si kumnyang’anya utoto wake, ni kumwandalia utu uzima wenye hadhi.
Ni kama kumnyooshea njia.
Hata Biblia na Qur’an zinasema:
Mfundishe mtoto njia impasayo, naye hataiacha hata atakapokuwa mzee.
Hapo ndipo Program ya NGUVU YA BUKU TOTO inapoingia.
Hii si tu programu. Ni mapinduzi kwa kizazi cha kesho.
Tunawafundisha watoto jinsi ya kutumia pesa kwa akili.
Kupanga bajeti.
Kujua tofauti ya “tamaa” na “hitaji”.
Na hata kuzalisha kipato chao wenyewe kuanza na buku moja tu!
Kama huamini, msikilize huyu mama:
Mtoto wangu wa miaka 10 alijiunga na NGUVU YA BUKU TOTO. Leo ananiambia, ‘Mama, hizi hela si za kutumia zote. Nusu nitaweka akiba.’ Nilishindwa kujizuia machozi. Sikuamini kama ni mtoto wangu anayesema vile.
Kwa hiyo kaka…
Kama unampenda mwanao, usimpe tu chakula na mavazi.
Mpe ELIMU YA KUDHIBITI MATUMIZI.
Mfundishe pesa ni nini.
Afundishwe kupangilia kesho, si kuishi tu leo.
👇 Kwahiyo kama hujajiunga Sasa Na Program Ya NGUVU YA BUKU TOTO.
Bonyeza hapa 👇
👉 https://wa.link/rdkja3
Watoto watafurahia. Na wewe utatabasamu miaka ijayo.
Elimu ya pesa sio kwa matajiri tu. Ni kwa kila mtoto anayetamani kuwa tajiri wa kesho.
Tuwaandalie kesho yao, leo.
Karibu.
Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana.
Mkufunzi Ramadhan Amir.