Rafiki Yangu Mpendwa,

‎Kuna vitu havirudi tena.
‎Na hii ofa ya NGUVU YA BUKU TOTO ni moja wapo!

‎Leo unapata package nzima kwa Tshs 50,000 tu (badala ya 100,000).
‎Kesho, bei inarudi juu.
‎Na mtoto wako ataendelea kukaa tu bila elimu ya pesa.

‎Fikiria Hili Kwa Sekunde Moja…

‎Unampa mtoto simu, chakula, nguo mpya…
‎Lakini hajui hata buku linaweza kugeuka kuwa mtaji.

‎Anajua kucheza game.
‎Anajua kuiomba hela.
‎Lakini hajui kuitengeneza!

‎Sasa, NGUVU YA BUKU TOTO inamfundisha mtoto:
‎✅ Jinsi ya kuipata hela
‎✅ Jinsi ya kuiweka hela
‎✅ Jinsi ya kuiwekeza hela
‎✅ Na Jinsi ya kuwaza kama mjasiriamali, akiwa bado mdogo!

‎Na si kusoma tu, kuna workbook, kuna masomo ya kila wiki, kuna ufuatiliaji, kuna uanachama!

‎Hii ni zawadi ya maisha kwa mtoto wako.
‎Si toy ya wiki mbili.
‎Ni elimu ya miaka 50 ijayo.

‎Lakini ofa hii inaisha wiki hii!
‎Ukisubiri, unaikosa.
‎Ukisita mtoto anaikosa.

‎🎯 Tuma jina la mtoto wako sasa hivi WhatsApp hapa:
‎📲 https://wa.link/4er2cn
‎📞 0756 694 090

‎Leo wewe ndiyo mzazi,
‎Kesho mtoto awe bosi wake mwenyewe!
‎Usikubali mtoto wako aje kukulaumu baadaye.

‎🔥 Wahi Siti Yako🔥

‎Karibu.
‎0756694090.