‎Kuna ukweli mchungu hapa kaka…
‎Watu wengi wana biashara nzuri.
‎Wana bidhaa poa.
‎Wana huduma safi.
‎Lakini bado mauzo yao ni ya kuvunjika moyo.

‎Kwa nini?
‎Kwa sababu hawajui kuuza.
‎Wanadhani biashara ni kuwa na duka.
‎Au kuwa na stock kubwa.
‎Au kufungua page ya Instagram.

‎Hapana.
‎Biashara ni kuuza.
‎Na kuuza ni maarifa ya kichwani – sio mzigo ulioko store.


‎Hebu tafakari…
‎Kila mwezi unahangaika.
‎Unapiga kelele mitandaoni lakini kimya.
‎Unaweka offer hakuna anayejali.
‎Unawaza, labda bidhaa ndo mbaya.
‎Unabadilisha jina la biashara bado hakuna kitu.

‎Mauzo yamekauka.
‎Ndoto zako zinakufa polepole.
‎Na kila siku watu wapya wanazidi kufungua biashara mpya wanakushinda!

‎Unadhani tatizo ni mtaji? Hapana.
‎Unadhani ni ushindani? Si kweli.
‎Unadhani ni nyota mbaya? Acha hizo.

‎Tatizo ni kwamba hujui mbinu sahihi za kuuza.
‎Hujui namna ya kumshika mteja na kumgeuza kuwa mteja wa kudumu.
‎Hujui lugha ya kuuza.
‎Na kama hujui hiyo…
‎Uko kwenye biashara ya kubahatisha sio biashara ya ukweli.

‎Lakini habari njema ni hii…
‎Sasa hivi unaweza kujifunza mbinu kali za mauzo hatua kwa hatua.
‎Kupitia kitabu kinachotikisa: CHUO CHA MAUZO.

‎Hiki sio kitabu cha maneno mengi.
‎Ni kozi kamili ndani ya kurasa chache.
‎Kimejaa mifano.
‎Kimejaa hadithi.
‎Na kinafunza lugha ya kuuza ambayo inatoa hela mfukoni mwa mteja kwa ridhaa yake.

‎Kuna kijana mmoja anaitwa Sam.
‎Alikuwa anauza viatu mtaani.
‎Kila siku anapiga lapa.
‎Anahangaika hadi jua linazama hajauza hata jozi moja.
‎Akavunjika moyo.

‎Baadaye akapewa kitabu cha CHUO CHA MAUZO.
‎Akasoma ndani ya siku 3.
‎Akaanza kubadili lugha anayotumia.
‎Akaanza kuweka caption zenye kuvuta hisia.
‎Akaanza kuwasiliana na wateja kwa staili ya kitaalamu.

‎Leo hii?
‎Anaingiza laki 1 kwa siku.
‎Anasema alichojifunza kwenye kitabu kile, kingemsaidia hata kama angekuwa anauza mahindi barabarani.

‎🔥 Sasa Ni Zamu Yako:
‎Unaendelea kusubiri miujiza au unachukua hatua?

‎Kitabu CHUO CHA MAUZO ni silaha yako ya mauzo.
‎👉 Fanya order sasa hivi kabla bei haijapanda.

‎Weka oda hapa 👇

https://wa.link/5oqq4w

‎👉 Pata mbinu za kuuza hata kwa mtu aliyesema sina hela.

‎P.S. Ukikosa hii nafasi… Utaendelea kushuhudia wengine wakipiga pesa, wakati wewe bado unaweka post isiyo na mteja.