
Mpendwa Rafiki,
Umeshawahi kujiuliza mbona kila mwaka upo vile vile tu?
Kila Januari una malengo.
Lakini kufikia Julai tayari umeyasahau.
Hakuna kilichobadilika.
Bado uko pale pale.
Sio kwamba huna akili.
Sio kwamba Mungu hakupendi.
Ni kwamba haujui cha kufanya, lini ufanye, na kwa nini unapaswa kufanya.
Hakuna mwongozo.
Unahangaika tu.
Hii hali inachosha.
Inauma kuona wenzako wanapiga hatua,
Na wewe uko tu. Unacheka tu mitandaoni.
Ukiona mtu amenunua gari unaanza kusema “ana mwanamke mzuri”
Ukiona mtu kajenga unatafuta mchawi.
Lakini rohoni unajua
Unaumia.
Unaota maisha bora lakini hujui njia ya kuyafikia.
Tatizo si kwamba hufanyi kazi.
Tatizo ni kwamba unafanya kazi bila dira.
Unatumia nguvu nyingi bila mwelekeo.
Ni kama mtu anakimbia porini bila kujua anakoenda.
Kila mtu ana semina yake, kila mtu ana ushauri wake,
Lakini hakuna aliyeweka ramani kamili ya kutoka sifuri hadi mafanikio.
Mpaka sasa.
Kitabu hiki cha MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO.
Kimeandika kwa lugha rahisi kabisa.
Kimeeleza hatua kwa hatua:
— Jinsi ya kubadili fikra zako
— Jinsi ya kuanza safari ya mafanikio
— Jinsi ya kuvuka vikwazo
— Jinsi ya kuanza kujijenga hata kama hauna hela
Hakuna porojo.
Hakuna hadithi za kufikirika.
Ni mwelekeo wa maisha halisi.
Ni mwongozo wa wale waliochoka kukwama.
Nilikutana na jamaa mmoja.
Alikuwa na miaka 29.
Kazi hana. Ndoto zimevunjika. Anaishi kwa dada yake.
Siku moja nikampelekea kitabu hiki.
Akakisoma mara tatu ndani ya wiki moja.
Akanipigia simu usiku mmoja akilia.
“Bro, kumbe tatizo halikuwa uchawi. Tatizo ni mimi nilikosa mwongozo.”
Leo hii ana biashara yake ndogo ya printing.
Ana mteja wake wa kwanza wa kila siku: NDOTO ZAKE.
Na alianza na kitabu hiki hapa.
Ukiendelea kusoma bila kuchukua hatua.
Utabaki kuwa mtaalam wa kutamani.
👉 Chukua sasa hivi kitabu chako cha
MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO
Usiangalie bei, angalia maisha unayotamani.
📦 Ni hapa
https://wa.link/89xs17
📞 Au Tuma Neno MWONGOZO kwenda 0756694090.
Wakati mwingine, unachohitaji si hela bali RAMANI.
Na hii hapa. 🌍📘
Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana.
Mkufunzi Ramadhan Amir.