
Kunasa Wateja Kama Sumaku.
Unaambiwa kuna watu wameongeza mauzo yao mara mbili ndani ya wiki moja tu… si kwa miujiza, bali kwa mfumo sahihi!
Najua unajitahidi kuuza.
Lakini kila siku inaisha ukiwa na maswali haya kichwani:
”Mbona wateja hawaongezeki?”
”Mbona nazunguka sana lakini mauzo hayapandi?”
”Nawezaje kuuza bila kuomba omba au kusumbua watu?”
Pole sana najua inavyochosha.
Kwa miaka kadhaa tumejifunza, tukajaribu, tukakosea, na hatimaye tukatengeneza mifumo sahihi ya kuuza:
✅ Vitabu vinavyofungua akili
✅ Mfumo wa CRM wa kuratibu wateja
✅ Na meseji 1000 zinazofunga mauzo kirahisi bila kuonekana kero
Na sasa, kwa mara ya kwanza – vyote vinapatikana kwa nusu bei tu kupitia Ofa Ya Sabasaba!
Leo unapata kifurushi cha nguvu chenye vitu 5 vya thamani ya Tsh 100,000 kwa Tsh 50,000 tu!
Angalia unachopata:
📘 Mauzo ni Raha – Tsh 20,000
📗 Mauzo ni Mchezo wa Namba – Tsh 20,000
📕 Mvua ya Wateja – Tsh 20,000
🧠 CRM ya Miezi 2 – Tsh 20,000
💬 Meseji 1000 za Mfumo KUMBUKA – Tsh 20,000
🧾 Jumla ya Thamani: Tsh 100,000
💸 Leo Unalipa: Tsh 50,000 tu!
⏰ Ofa hii ilianza Julai 07 hadi Julai 11 – Inaisha saa 11:55 usiku!
Baada ya hapo, bei inarudi juu haraka bila huruma.
📲 Kuwahi ofa hii, bonyeza hapa sasa hivi:
🔗 https://wa.link/ux8948
📞 Kwa maelezo zaidi:
📱 0756 694 090