
Rafiki Yangu,
Kuna kipindi biashara ya Baba Kelvin ilikuwa juu.
Wateja walifurika. Mauzo yalirindima.
Kila siku ilikuwa na matumaini mapya.
Lakini ghafla, mambo yakabadilika.
Simu zilinyamaza.
Hakukuwa na oda mpya.
Mitandao ilikuwa kimya.
Alijisemea, “Labda ni msimu tu…”
Lakini wiki zikapita. Hakuna kilichobadilika.
Na ilimuuma. Sana.
Alianza kujiuliza: “Kulikoni? Wateja walikwenda wapi?”
Akiwacheki hawajibu.
Akitoa ofa hakuna anayeshtuka.
Mpaka mmoja aliandika tu ujumbe mmoja:
“Nilisahau kama bado unauza!”
🔥 Na hapo ndipo aligundua ukweli mchungu:
Biashara yake haikufa ilisahaulika.
👣 Lakini hakuachana nayo.
Aliamua kutafuta suluhisho.
Ndipo aliposikia kuhusu Mfumo wa Kumbuka SMS njia rahisi ya kuwaamsha wateja waliolala.
Akaanza na ujumbe mmoja:
“Habari rafiki, tulikukumbuka… bado tunahudumia kama zamani na sasa tuna ofa yako!”
Siku hiyo hiyo, mteja wa zamani akarudi.
Kesho yake wawili zaidi.
Wiki haikuisha, duka likawa hai tena.
📌 Leo Baba Kelvin anasema hivi:
“Biashara haiwezi kukumbukwa ikiwa hujikumbushi.”
Na Mfumo huu wa SMS ndio silaha yake ya mauzo ya kila wiki.
💡 Na wewe unaweza kufanya hivi leo:
✅ Kuamsha waliolala
✅ Kukumbusha ofa zako kwa upole
✅ Kujenga uhusiano wa kudumu
✅ Na kuongeza mauzo bila kelele
Biashara yako haifi mara moja.
Inazimika polepole kama taa isiyotunzwa.
Lakini ukijua kuitwanga cheche, inawaka tena kwa nguvu.
👇🏾 Bonyeza hapa kuanza kutumia mfumo huu sasa:
https://wa.link/0uuu0r
Usingoje hadi wapotee kabisa wakumbushe leo.
📞 Karibu!
0756694090.
Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
Ramadhani Amir