
Rafiki Yangu,
Unapata hela. Lakini baada ya muda, hakuna kinachoonekana.
Inauma eeh? 😩
Na ukiendelea hivi, utabaki kusaka pesa kila siku bila matunda.
Siri ni hii 👉 hela inahitaji mfumo. Bila mfumo, zote zinapotea.
Vitabu havikupi huo mpango. Unahitaji mwongozo halisi.
Ndiyo maana tunakutana Zanzibar – Kisima Cha Maarifa 2025.
Utafundishwa namna ya kusimamia mapato, kuongeza chanzo cha kipato, na kukomesha madeni. 🚀
Kuna dada mmoja, mwaka jana alishiriki. Leo ana akiba ya miezi 6 na biashara yake imekua mara mbili.
Wewe unasubiri nini? 👇
https://wa.link/lsl3hp
Karibu.
0756694090.