
Rafiki Yangu,
Hebu nikwambie ukweli ambao watu wengi hawapendi kuusikia…
Watu wengi wanachelewa kuanza uwekezaji si kwa sababu hawana pesa
wanachelewa kwa sababu wanaogopa kuanza.
Wanahisi hawana elimu ya kutosha.
Wanahisi uwekezaji ni kwa matajiri.
Wanahisi hawajafikia level fulani.
Lakini ukweli ni rahisi sana…
Uwekezaji hauanzi ukiwa mkubwa… unakuza ukubwa.
Leo hii watu wengi wanaishi kwa mshahara wa kupumulia.
Unapata pesa, unalipa bili, unamaliza mwezi kama vile hujawahi kuipata.
Hakuna hela inayobaki.
Hakuna akiba.
Hakuna uwekezaji.
Lakini ukweli ni huu…
Kuanza uwekezaji hakuhitaji kuwa na mamilioni.
Kinachohitajika ni direction sahihi na nidhamu ndogo tu.
Na hii ndiyo changamoto kubwa…
Watu wanaona kila kitu kikubwa,
wanapotea kusaka maelezo mengi sana,
wanasahau kitu kimoja…
Uwekezaji unaanza kwa hatua ndogo, lakini sahihi.
Na ukichelewa kuanza leo,
kesho hautachelewa tu,
utakuwa umejipunguzia miaka mingi ya uhuru wa kifedha.
Maisha hayakusubiri.
Bili hazisubiri.
Mishahara haipandi haraka.
Na muda.
kila siku unapita bila uwekezaji,
ndiyo hasara kubwa kuliko hata kutopata bonus kazini.
Unajua nini kinauma zaidi?
Miaka mitano ijayo, utasema:
Kumbe ningejua, hata elfu 5 ningeanza…
Watu wengi wanaamini lazima waanze na mtaji mkubwa.
Hii ni imani potofu.
Uwekezaji wa maana hauanzi kwa pesa nyingi,
unaanzia kwa mpango.
Mpango wa kujenga akiba kidogo,
kuihamishia kwenye uwekezaji salama,
kuachana na tamaa ya matokeo ya haraka.
Wengine wanafikiri lazima uelewe hesabu ngumu,
graphics za stock market,
au maneno ya kiuchumi yanayokera kichwa.
Hapana, kaka.
Wekeza hatua kwa hatua.
Ukitaka kisukari kitatokea, jaribu kuelewa kila kitu mara moja!
Mwongozo wa kuanza uwekezaji leo ni rahisi kuliko unavyodhani:
1. Anza na kiasi kidogo unachoweza kuhimili.
Hata elfu 10 inaweza kukupa mwanzo.
2. Weka akiba ya dharura polepole, usikimbilie mambo makubwa.
3. Wekeza kwenye maeneo yanayokua polepole lakini kwa uhakika.
4. Tengeneza nidhamu ya weka kabla ya kutumia, si weka kilichobaki.
5. Jenga tabia ya kujifunza hatua ndogo ndogo kila siku.
Leo unapoanza kidogo
unajenga misuli.
Unajenga utamaduni.
Unajenga nguvu itakayokulipa kesho na keshokutwa.
Namkumbuka jamaa mmoja mtaani kwetu.
Hakuwa na mshahara mkubwa.
Lakini alikuwa na kitu kimoja nidhamu ndogo ya kuweka elfu 5 kila wiki.
Wenzake walimcheka.
Walimuambia hiyo ni hela ya supu.
Lakini yeye aliendelea tu.
Mwaka ulipofika mwisho,
miaka miwili ikapita,
akawa na pesa ya kuanza biashara ndogo ya mtaji mdogo.
Leo hii jamaa yuko mbali kuliko waliomcheka.
Sio kwa sababu alikuwa na hela nyingi
bali kwa sababu alianza mapema, akabana, akavumilia.
Hii ndio nguvu ya kuanza mapema.
Hii ndio nguvu ya mwongozo sahihi.
Kaka, kama kweli unataka kuanza uwekezaji bila kuchanganyikiwa,
bila kusubiri mamilioni,
bila kuogopa kuanza kidogo
anza na mwongozo sahihi.
Na mwongozo huo upo tayari.
Wazi.
Rahisi kuelewa.
Umeandikwa kwa lugha ya kiswahili.
Unaanzia sifuri mpaka hatua ya sasa naelewa.
Mwongozo huu unaupata ndani ya kitabu hiki cha ELIMU YA MSINGI YA UWEKEZAJI.
Kukipata unaweza kuweka oda Yako hapa 👇
Ni hapa 👇
https://wa.link/kj1hrl
Karibu.
0756694090.