Kaka/Dada… inauma….
‎
‎Kuna wakati mtu anakaa kimya, anayafikiria maisha yake, halafu anapata ile hisia mbaya…
‎Dah, muda umeenda… na mimi bado nipo pale pale.
‎
‎Ni hisia mbaya.
‎Ni hisia inayokula ndani.
‎Ni hisia inayoweza kukufanya uamini kwamba safari yako imeisha.
‎
‎Lakini leo nataka nikupe ukweli ambao wengi hawakuambiagi…
‎
‎Tatizo sio kwamba umechelewa.
‎Tatizo ni kwamba umeamini kuchelewa ni kosa lisilorekebishika.
‎Na hiyo imani ndiyo imekukatisha tamaa.
‎
‎Lakini ukweli ni huu hapa…
‎Maisha hayafungwi na muda uliopotea.
‎Maisha huanza unapoamua kuanza upya.
‎
‎Kila mtu aliyeko mbele yako sasa… aliwahi kuwa nyuma ya mtu mwingine.
‎Hakuna aliyeanza vizuri.
‎Lakini kuna wengi walianza mahali walipo na wakafika mbali.
‎
‎Sasa, shida kubwa ni hii hapa…
‎Kila siku unavyokaa na kujisema, Nimechelewa,unajiibia dakika.
‎Unajiibia matumaini.
‎Unajiibia nguvu ya kuanza.
‎
‎Miaka inapita.
‎Makosa ya zamani yanajirudia.
‎Akili inakupa visingizio..
‎ Wenzako wako mbali.
‎ Umezidi umri.
‎Huna cha kuanza nacho.
‎ Sasa utafanya nini?
‎
‎Hii ni sauti ndogo ya kukukatisha tamaa…
‎huumiza kuliko ukosefu wa pesa.
‎
‎Kwa sababu ukishakata tamaa, hakuna hatua inayotokea.
‎Na bila hatua… hakuna mabadiliko.
‎
‎Na sasa ngoja nikuweke sawa na kuuvunja huo uongo.
‎
‎Kuanza kuchelewa hakujawahi kuwa tatizo katika mafanikio ya kifedha.
‎Tatizo halipo kwenye umri wako.
‎Tatizo halipo kwenye miaka uliyopoteza.
‎Tatizo halipo kwenye makosa uliyowahi kufanya.
‎
‎Tatizo ni fikra.
‎
‎Kuna watu walijua matumizi sahihi ya pesa wakiwa na miaka 40.
‎Wengine walijua uwekezaji wakiwa Miaka 45.
‎Wengine walijenga nidhamu wakiwa Miaka 50.
‎Na guess what?
‎Leo wana maisha bora kuliko vijana walioanza mapema.
‎
‎Kwa hiyo…
‎uongo wa umechelewa uujengee kaburi leo.
‎
‎Sasa suluhisho ni moja tu.
‎Na halihitaji mtaji mkubwa, elimu kubwa, au muda wa miujiza.
‎
‎Inahitaji hatua ndogo.
‎Hatua ndogo inayorudiwa.
‎Hatua ndogo inayojenga tabia.
‎
‎Tabia ndio hutengeneza nidhamu.
‎Nidhamu ndio hutengeneza utajiri.
‎Na utajiri hauanzi na milioni…
‎Unaanza na buku.
‎Buku moja.
‎Leo.
‎Sio kesho.
‎
‎Hapo ndipo Elimu Ya Msingi Ya Uwekezaji inafanya kazi kubwa.
‎Haikuambii, Anza kwa ukubwa.
‎Inakuambia, “Fanya sahihi. Fanya kidogo. Fanya leo.”
‎
‎Inakufundisha kutumia pesa kwa akili, kuweka akiba kidogo kila siku, kujenga muundo wa maisha ya kifedha… bila presha, bila majigambo, bila ugumu.
‎
‎Nikupe story ambayo nadhani itaugusa moyo wako.
‎Kuna kijana mmoja wa Magomeni.
‎Miaka ilimkalia vibaya.
‎Alitumia vibaya pesa alizowahi kupata.
‎Akaingia kwenye matumizi mabovu, madeni, na lawama kibao.
‎
‎Siku moja aliniambia…
‎Bro, nadhani game imenipita. Nimeshachemsha sana. Nimechelewa kuliko watu wote.
‎
‎Nikamuangalia, nikamuambia kitu rahisi:
‎HujaCHELEWA. UmeCHELEWESHWA na mawazo yako.
‎
‎Tulianza safari ya hatua ndogo.
‎Buku moja.
‎Kila siku.
‎Pesa ndogo ndogo.
‎Maamuzi madogo madogo.
‎
‎Baada ya miezi 6…
‎Hakuwa bilionea.
‎Lakini alikuwa mtu mpya.
‎
‎Alikuwa na akiba.
‎Alikuwa na nidhamu.
‎Alikuwa na mwelekeo.
‎Alikuwa na matumaini aliyoamini tena.
‎
‎Na leo?
‎Anaweka pesa kila mwezi.
‎Anawekeza kiasi kidogo kinachokua.
‎Amepata confidence mpya kwenye maisha.
‎
‎Na mara ya mwisho nilipoongea naye, alinipa kauli nisiyoisahau:
‎Siri haikuwa pesa… ilikuwa kuamua kuanza, ingawa nilihisi nimechelewa.
‎
‎Na wewe pia unaweza kuanza leo.
‎Hata kama miaka imepita.
‎Hata kama ulipoteza pesa.
‎Hata kama makosa yamekuumiza.
‎Hata kama unaanza na shilingi 1000.
‎
‎Maisha yanabadilika pale unaposema:
‎Sasa nataka kujijenga.
‎
‎Na ukitaka mwongozo rahisi, laini, unaoingia kichwani haraka…
‎Elimu Ya Msingi Ya Uwekezaji ndiyo daraja lako.
‎Itakupa misingi, nidhamu, na mpango wa kuanza safari mpya bila presha.
‎
‎👇 Jifunze zaidi hapa
‎https://wa.link/kj1hrl
‎
‎Karibu sana.
‎0756 694 090
‎
‎PS:
‎Hakuna Aliyewahi Kuchelewa Kwenye Safari Ya Kubadilisha Maisha.
‎Lakini Kuna Wengi Wamekwama Kwa Sababu Waliamini Uongo Wa NIMECHELEWA.
‎Usiwe Mmoja Wao.