
Kaka/Dada… hebu kaa karibu.
Kuna kitu watu wengi wanakosea kila mwisho wa mwaka na ndicho kinawafanya waingie mwaka mpya wakiwa pale pale.
Wengine wanapanga malengo makubwa, mipango mizuri, lakini baada ya miezi miwili… kila kitu kimekufa.
Sio kwa sababu hawajui kupanga.
Ni kwa sababu msingi wao wa kifedha ni dhaifu.
Mwaka mpya ukikaribia, kila mtu anaanza kuandika mipango:
Nitafungua biashara.
Nitaanza kuwekeza.
Nitakua na akiba.
Nitabadilisha maisha.
Lakini hujawahi kujiuliza…
Unaanza vipi mipango mikubwa bila msingi wa fedha ulio sawa?
Tatizo haliko kwenye mipango yako.
Tatizo liko kwenye kutokujua kanuni ndogo ndogo za fedha ambazo ndizo zinazobeba mafanikio makubwa.
Unapopanga malengo ya mwaka bila kuelewa misingi ya pesa ni sawa na kujenga nyumba juu ya mchanga.
Hii ndiyo sababu watu wengi hutafuta mwaka wa mafanikio, halafu mwaka unaisha bila mabadiliko yoyote.
Hawajui tatizo ni kanuni… sio kipato.
Hebu fikiria kwa sekunde chache…
Kila mwaka unajikuta unaanza upya.
Unasema, Mwaka huu lazima nibadilike.
Lakini unamaliza mwaka ukiwa na presha ile ile, madeni yale yale, stress ile ile ya mwezi ni mrefu kuliko mshahara.
Unajikuta unaingia dukani, unalipa bili, unarudi nyumbani ukiwa umechoka.
Unaanza kuhisi kama maisha yanakukimbiza.
Unaona wenzao wanapiga hatua, wanawekeza, wanafungua biashara, wanajenga, wanakua.
Unajiuliza…
Mbona mimi kila kitu kinanigonga? Mimi nimekosea wapi?
Unahisi hujakosea chochote.
Umekuwa ukijituma, kufata kila kitu, lakini bado hauoni matokeo.
Na hapa ndipo wengi wanakata tamaa wanadhani labda Mungu hawaiti, bahati haipo, au maisha magumu yamewaandama tu.
Lakini ukweli ni mwingine kabisa.
Sikiliza kaka/dada…
Tatizo lako sio kipato chako.
Sio kazi yako.
Sio elimu yako.
Sio familia.
Sio mtaa unaotokea.
Tatizo kubwa la wengi ni kutokujua kanuni sahihi za fedha.
Ukizijua, hata kipato kidogo kinaweza kukubeba.
Ukikosa, hata kipato kikubwa kinapotea kama hewa.
Kwenye pesa, akili inashinda nguvu.
Nidhamu inashinda kipato.
Kanuni inashinda bahati.
Wengi wanaingia kwenye mwaka mpya na malengo mazuri…
Lakini wanayaweka juu ya msingi uliolegea.
Hakuna akiba.
Hakuna bajeti.
Hakuna mpango wa uwekezaji.
Hakuna uelewa wa mzunguko wa pesa.
Halafu wanashangaa kwa nini maisha hayasogei.
Kaka/dada mabadiliko ya fedha hayatokei kwa kutamani TU.
Yanakuja kwa kanuni.
Suluhisho sio kutafuta mwaka bora.
Ni kujitengeneza wewe bora.
Suluhisho sio kuongeza mipango.
Ni kujua kanuni zitakazobeba mipango yako.
Ndiyo maana kabla hujaandika mpango wa 2026…
Unapaswa kujua misingi ya fedha.
Misingi inayoeleweka.
Inayofanya kazi.
Inayokupa uwezo wa kuanza kidogo na kukua taratibu lakini kwa uhakika.
Kitabu Elimu Ya Msingi Ya Uwekezaji ndicho kinachokupa msingi huo.
Kinakufundisha:
Jinsi ya kuanza na shilingi ndogo.
Jinsi ya kuweka akiba bila kujitesa.
Jinsi ya kupanga fedha zako kwa akili.
Jinsi ya kuwekeza hatua kwa hatua.
Jinsi ya kuacha kuwa mteja na kuanza kuwa mwekezaji.
Huu sio ushauri.
Ni mfumo.
Ni ramani.
Ni mwongozo ambao ukiufuata, unapiga hatua bila presha.
Kuna kijana mmoja Ilala.
Mwaka jana alikua kama watu wengi malengo kibao, lakini hakua na msingi.
Alikua anaanza mwaka na nguvu, anamaliza akiwa amechoka.
Cha ajabu, kipato chake hakikuwa kibaya.
Lakini pesa zilikuwa zinapita mikononi kama moshi.
Siku moja akapata kitabu Elimu Ya Msingi Ya Uwekezaji.
Akanieleza:
Bro… nilichokosa sio pesa. Nilichokosa ni kanuni.
Akaanza na buku kwa siku.
Akaweka bajeti rahisi.
Akaanza kuwekeza kidogo kidogo.
Miezi 8 baadaye…
Alikua na akiba nzuri.
Alikua amepunguza madeni.
Alikuwa na nidhamu ambayo hakuwahi kuwa nayo.
Na mara ya kwanza katika maisha yake alijisikia kama mtu anayeshika usukani wa maisha yake.
Hiyo ni nguvu ya kanuni.
Na inaweza kuwa nguvu yako pia.
Mwaka 2026 usiukimbilie kwa kukisia.
Uingie na msingi.
Uingie na kanuni.
Uingie na mpango ambao hauanguki.
Usianze mipango ya 2026 bila kwanza kusoma ELIMU YA MSINGI YA UWEKEZAJI.
Hiki ndicho kitakupa uwezo wa kuanza kidogo na kufika mbali.
👉 Bonyeza hapa kujipatia kitabu sasa:
https://wa.link/kj1hrl
👉 Au tuma maneno ELIMU YA MSINGI YA UWEKEZAJI kwenda
0756 694 090
PS: Mwaka 2026 Unaweza Kuwa Tofauti Lakini Lazima Uanzie Hapa.