
Kaka/Dada, ngoja nikuambie kitu ambacho watu wengi wanaogopa kukuambia..
Watu wanaweza kukuona kama mtu mwenye akili, mpangaji mzuri, anayejituma, mwenye maono makubwa…
…lakini roho yako inajua kitu kimoja ambacho hukisemi.
Mimi sijafika pale ninapotaka.
Unaweka juhudi. Unawaza sana. Unapanga kila kitu kwa kalamu, kwa daftari, kwa ndoto.
Lakini mambo hayaendi kasi unayotaka.
Na pale ndipo maumivu yanaanza.
Maumivu ya kimya. Maumivu ya ndani.
Maumivu ambayo hujui umwambie nani kwa sababu watu wanaokuona nje, wanaamini uko sawa.
Lakini moyoni unajua kuna kitu kinakukwaza.
Kuna kizuizi kisichoonekana kinachokufanya usipige hatua unayostahili kupiga.
Wakati mwingine unajisemea, Labda muda wangu haujafika.
Wakati mwingine unajipa moyo, Nitapambana tu.
Lakini ukikaa peke yako, unajiuliza…
Kwa nini wengine wanafanikiwa wakati mimi bado nipo hapa hapa?
Na huu ndio uchungu wenyewe.
Unaona mtu aliyekua nyuma yako akipiga hatua.
Unaona mtu anayefanya vitu vya kawaida kupata matokeo makubwa.
Unajiuliza, Hivi nina makosa gani?
Unatafuta majibu, lakini hujui yanapatikana wapi.
Ngoja nikufunulie kitu ambacho wengi hawajui.
Kitu ambacho watu wanaofanikiwa hawasemi waziwazi.
Hakuna kinachobadilika bila kujitawala kwanza.
Si mipango.
Si kurudi shuleni.
Si kuanzisha mradi mpya.
Si kuamka mapema.
Si kusoma vitabu vingi.
Vitu hivi vyote ni vizuri lakini havina nguvu yoyote kama wewe hujajitawala ndani.
Kwa sababu mpangilio bila nidhamu ya ndani ni nusu ya safari.
Na ndoto bila uongozi binafsi ni mzigo tu.
Watu wanafanikiwa kwa sababu wamejifunza kuongoza nafsi zao kabla hawajaongoza maisha yao.
Wamejua kujidhibiti kabla ya kudhibiti majukumu.
Wamejifunza kuzuia vishawishi vya kutowajibika.
Wamejua kusema hapana kwenye mambo yanayopoteza muda.
Wamejua kutekeleza kitu hata kama hawana mood.
Hapo ndipo siri imejificha.
Watu wanaokushangaza, wale unaowaona wanapiga hatua kila siku hawako hivyo kwa sababu wana bahati, au wana watu maalum, au wana pesa nyingi.
Wako mbele kwa sababu wameamua kujiendesha wao wenyewe bila sababu, bila visingizio, bila kusukumwa.
Najua unahisi unastahili zaidi ya unachopata sasa.
Najua kuna sauti ndogo ndani yako inayokwambia unaweza kuwa mtu tofauti kabisa.
Najua kuna sehemu ndani yako ambayo imechoka kurudia makosa, maisha yale yale, matokeo yale yale.
Hebu ngoja nikusimulie hadithi fupi…
Mtaani kwetu kulikuwa na jamaa mmoja.
Kila mtu alikua anamjua kama mtu wa mipango, mtu wa maneno, mtu wa kesho.
Alikuwa anajua kila kitu lakini hageuzi chochote kuwa matokeo.
Mwaka baada ya mwaka, alikuwa yule yule mpole, mwenye akili, anayeheshimika lakini ambaye maisha hayabadiliki.
Siku moja akasema,
Labda tatizo si maisha… labda tatizo ni mimi.
Akaanza kujitawala.
Akaanza kujisimamia.
Akaanza kutekeleza bila kusukumwa.
Akaanza kuamua bila kuogopa maoni ya watu.
Akaanza kukataa visingizio vyake vya zamani.
Na ndani ya miezi michache, maisha yake yalibadilika.
Aliyokuwa akisubiri miaka mingi, alivitimiza Ndani ya muda mfupi.
Leo ni mfano kwa wengi.
Hata wale waliokuwa wanampita, sasa wanamshangaa.
Siri yake ni moja tu…
Aliamua kujidhibiti kabla hajajaribu kuidhibiti dunia.
Na ukweli ni kwamba,
Wewe pia unaweza kuwa mtu huyo.
Nyota yako iko pale pale.
Fursa zako hazijaisha.
Nguvu yako bado haijatumika yote.
Unachohitaji ni ufunguo mmoja tu…
Ufunguo Huo ni kitabu hiki kipya cha
Falsafa ya Ustoa
Kitabu hiki sio stori tu.
Ni mwongozo wa maisha.
Ni mabadiliko ya ndani yanayozalisha matokeo ya nje.
Ni dira ya mtu anayechoka kusukumwa na mazingira, na kuamua kuyaongoza maisha yake mwenyewe.
Kama unataka mabadiliko ya kweli si yale ya wiki moja, bali ya maisha yote
Basi soma kitabu hiki.
Kiko hapa 👇
https://wa.link/524kl0
Karibu sana.
0756 694 090
PS: Unapochelewesha Hatua, Unachelewesha Maisha Yako. Anza Leo.