‎Rafiki Yangu,

Hebu fikiria kitu kidogo…
‎
‎Kila siku unaamka mapema, unatafuta, unakimbizana na majukumu, halafu mwisho wa mwezi unashangaa mbona hesabu haikui.
‎
‎Unajituma kuliko wengi, lakini kipato kinategemea nguvu zako asilimia mia.
‎
‎Tatizo?
‎Mwili ukilala… pesa pia zinalala.
‎Hiyo ndiyo siri inayokufanya uendelee kukimbizana na maisha bila kupata nafasi ya kupumua.
‎
‎Na sio kosa lako.
‎Hujafundishwa mfumo.
‎Watu wengi hawajui kabisa kwamba kipato kinaweza kukua bila wewe kuwepo.
‎Kipato kinaweza kuendelea kuingia hata ukiwa umelala, umesafiri au upo kwenye majukumu ya kawaida.
‎
‎Ukweli ni kwamba….
‎
‎Dunia ya leo haiendeshwi tena kwa nguvu za mwili.
‎Inaendeshwa kwa mifumo.
‎Wale unaowaona kimya kimya wanapiga hatua sio kwamba wana miujiza wanafanya kitu ambacho wewe bado hujaanza.
‎
‎Wamefanya pesa iwafanyie Kazi.
‎
‎Wewe unatumia nguvu zako.
‎Wao wanatumia pesa yao.
‎
‎Na hapo ndipo tofauti inaanza kujionyesha.
‎
‎Ukiendelea kutegemea kipato kinachotoka kwenye nguvu zako, maisha yatakupiga kisawa sawa.
‎
‎Na utabaki na yale maumivu kimya kimya, ambayo umeyabeba ndani, Lakini haumwambii yoyote.
‎
‎Lakini hapa ndipo watu wa kawaida wanawashangaza wengi…
‎Wanajua kitu kimoja tu…
‎Pesa ndogo ikitawaliwa vizuri, inaleta maajabu.
‎
‎Hapo nyuma….
‎
‎Mtaani kwetu kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa Masele.
‎Hakuwa mtu wa pesa.
‎Anafanya kazi za kawaida, mishahara haivuki hata milioni moja.
‎Hana biashara kubwa, hana connection… mtu wa kawaida kabisa.
‎
‎Siku moja alimsikia mtu akisema:
‎Tatizo lako sio kipato kidogo… ni matumizi bila mpango.
‎
‎Kauli ikamchoma.
‎Ikamgusa.
‎Ikamfanya akae kimya siku nzima akitafakari.
‎Akaamua kujaribu kitu kidogo tu kuweka pembeni buku 5 kila wiki.
‎Si project, si biashara, si kitu cha kutisha. Buku 5 tu.
‎
‎Baadaye akajifunza misingi michache ya uwekezaji.
‎Akaanza kuweka kidogo kidogo kwenye maeneo salama.
‎
‎Akaanza kuifanya pesa ifanye kazi hata wakati yeye anaendelea na shughuli zake.
‎
‎Miaka miwili mbele…
‎Masele sio yule wa zamani.
‎Sio tajiri, lakini sasa ana mfumo.
‎Ana kipato kinachoingia bila yeye kuwepo.
‎Hata akiwa analala, anaingiza pesa ndogo ndogo zinazoendelea kukua.
‎
‎Siri ni misingi tu na kanuni sahihi.
‎
‎Kwanini Nakwambia Hii Leo?
‎
‎Kwa sababu hali yako ya leo haibadiliki kwa juhudi tu.
‎Inabadilika kwa maarifa sahihi.
‎Ujuzi ambao shuleni hawakutufundisha.
‎
‎Na ndiyo maana watu wakipata elimu sahihi ya uwekezaji, hata kipato cha kawaida kinabadilika kuwa mfumo wa kipato endelevu.
‎
‎Kama Kipato Chako Bado Kinaishi Kwa Nguvu Zako… Ni Hatari.
‎
‎Gharama za maisha hazishuki.
‎Majukumu hayaishi.
‎Mahitaji hayapungui.
‎
‎Lakini kipato kinaweza kuongezeka kama ukiamua na kuacha kuzikimbiza pesa, na kuanza Kufanya pesa ifanye kazi kwaajili yako.
‎
‎Hapa Ndipo Kitabu Cha ELIMU YA MSINGI YA UWEKEZAJI Kinaingia…
‎
‎Kama ulikuwa unatafuta hatua ya kuanzia, hapa ndipo.
‎Kitabu hiki ndicho msingi ambao watu wa kawaida wanatumia kugeuza kipato kidogo kuwa mfumo.
‎
‎Ndani yake utajifunza:
‎
‎Namna ya kuanza uwekezaji hata ukiwa na pesa ndogo mno.
‎
‎Namna ya kutawala pesa yako badala ya pesa kukutawala.
‎
‎Namna ya kujenga mfumo wa kipato kinachoendelea hata wewe ukiwa usingizini.
‎
‎Namna ya kuzuia pesa kuvuja bila uelewa.
‎
‎Namna ya kuanza safari ya uhuru wa kifedha bila kuumiza kichwa.
‎
‎Kumbuka Hiki Kitu Moja…
‎
‎Ukiulaza mwili, usilaze pesa pia.
‎Lazima pesa iendelee kufanya kazi, hata kama wewe ukipumzika.
‎
‎Na safari hiyo inaanza na uamuzi mdogo tu…
‎Kuamua kujifunza misingi sahihi.
‎
‎👇 Hapa Ndipo Safari Inaanzia
‎https://wa.link/kj1hrl
‎
‎Karibu.
‎0756694090
‎
‎PS: Watu Wanaopiga Hatua Haraka Sio Matajiri.
‎Ni Wale Walioamua Kuanza Mapema Bila Kusubiri Mazingira Yabadilike.
‎Usiendelee Kubahatisha Anza Kwa Usahihi Leo.
‎