
Unapoteza Mwelekeo Kila Siku… Na Hata Hujui….
Rafiki Yangu,
Hebu simama kidogo.
Fikiria maisha yako.
Kila siku unaamka.
Unavaa.
Unatoka.
Unakimbia.
Unapambana.
Unachoka.
Lakini swali ni moja.
Unaelekea wapi?
Watu wengi wanafanya mambo mengi.
Lakini hawajui kwa nini wanafanya.
Wana ratiba.
Lakini hawana mwelekeo.
Na hapo ndipo tatizo lilipo.
Sio kwamba huna akili.
Sio kwamba wewe ni mvivu.
Na sio kwamba bahati imekukataa.
Tatizo ni moja tu.
Huna falsafa ya maisha.
Bila falsafa,
Unasukumwa na mazingira.
Unachezeshwa na hisia.
Unachokozwa na maneno ya watu.
Leo una motisha.
Kesho umevunjika moyo.
Leo una ndoto.
Kesho umechanganyikiwa.
Kila kitu kinakuendesha.
Hakuna unachokiongoza.
Hapo ndipo watu wengi wanapopotea.
Kimya kimya.
Bila hata kugundua.
USTOA
Sio falsafa ya maneno matamu.
Sio ya kujifariji.
Ni falsafa ya kukaza akili.
Inakufundisha kitu kimoja kikubwa:
Dhibiti unachoweza kudhibiti.
Achana na usichoweza.
USTOA inakufundisha kuyatawala mawazo yako.
Kabla hayajakutawala.
Inakufundisha kudhibiti hisia zako.
Kabla hazijakuangusha.
Inakufundisha kuweka mipaka.
Kwa watu.
Kwa matamanio.
Kwa hofu.
Wengi wanaharibiwa sio na shida.
Bali na tafsiri zao za shida.
USTOA inabadilisha tafsiri hiyo.
Kuna jamaa mmoja nilimfahamu.
Alikuwa anahangaika kila siku.
Hasira.
Wivu.
Hofu.
Msongo wa mawazo.
Kila kitu kilimkera.
Maneno madogo yalimuumiza.
Hasara ndogo ilimvunja.
Alikuwa anapotea kila siku.
Lakini hakujua.
Mpaka siku moja akakutana na kanuni.
Sio motisha.
Sio maneno ya kupepesa macho.
Kanuni.
Alijifunza kujiuliza:
Hili lipo ndani ya uwezo wangu au nje?
Kama lipo nje,
Haliibi usingizi wake.
Kama lipo ndani,
Anachukua hatua.
Polepole,
Akawa mtu mwingine.
Sio kwa sababu maisha yalibadilika.
Bali kwa sababu yeye alibadilika.
Hii ndio nguvu wa USTOA.
FALSAFA YA USTOA
Hiki sio kitabu cha kusoma halafu uweke mezani.
Hiki ni kitabu cha kuishi nacho.
Ni ramani.
Ni mwongozo.
Ni dira ya akili.
Kinakufundisha jinsi ya kusimama imara.
Wakati dunia inatetemeka.
Kinakufundisha kuwa mtulivu.
Wakati wengine wanachanganyikiwa.
Kinakufundisha kuishi kwa kanuni.
Sio kwa mihemko.
Kama unajisikia:
– Unachoka bila sababu
– Unawaza sana
– Unatetemeka kwa hofu ya kesho.
– Unasukumwa na kila kinachotokea.
Basi ujumbe huu ni wako.
Maisha hayahitaji kelele.
Yanahitaji mwelekeo.
Na mwelekeo huja kwa falsafa sahihi.
Kitabu cha FALSAFA YA USTOA
Sio cha kila mtu.
Ni cha watu waliokataa kukatishwa tamaa ya kuchezeshwa na maisha.
Kama uko tayari kuishi kwa kanuni.
Kama uko tayari kuwa imara.
Kama uko tayari kuongoza akili yako.
Basi hiki ni chako.
Unaweza kukipata hapa kwa ofa:
👇
https://wa.link/524kl0
Karibu.
0756694090.
PS: Usingoje maisha yakulazimishe ubadilike.
Badilika sasa.
Kwa hiari.
Kwa falsafa.