
Rafiki yangu, ukweli ni huu…
Maisha si magumu.
Tatizo ni wewe kutokuwa na kanuni.
Kuishi bila kanuni ni kama kuendesha gari bila mwelekeo.
Unaanza, unashuka, una-panic, unaishia kupoteza muda.
Unafanya kazi nyingi.
Unawekeza muda kwenye mambo yanayokuletea usumbufu, lakini siyo matokeo.
Una ndoto kubwa.
lakini kila siku unaendelea kujiuliza Kwa nini bado sijafanikiwa?
Watu waliobadilika hakika hawakubahatisha.
Hawakusubiri bahati ibariki.
Hawakujaribu kwa nguvu tu.
Walibadilisha siku moja.
Na kanuni moja ilibadilisha kila kitu.
Ni kanuni rahisi, lakini yenye nguvu.
Kanuni Ya Siku Ya MAFANIKIO.
Siku moja inaweza kuwa mwanzo wa maisha mapya.
Kanuni hii inakuonyesha:
Nini cha kufanya leo, bila kupoteza muda
Nini cha kuacha, ili hatimaye usishuke.
Jinsi ya kupanga hatua zako kidogo kidogo, kila siku.
Jinsi ya kushinda hofu, mashaka na kuacha kubahatisha.
Rafiki yangu, usipoiweka kanuni hii, utaendelea kubahatisha.
Utaendelea kufanya mambo bila mpangilio.
Kutafuta matokeo bila mbinu.
Na hatimaye, kuishia kuchukia juhudi zako, na kuona wengine wakiendelea mbele.
Lakini ukipata kanuni hii, kila kitu hubadilika.
Muda unaanza ku-deliver faida.
Kila hatua unayoichukua inakuwa uwekezaji kwa maisha yako.
Wazo zuri linakuwa hatua.
Fursa zinakufuata, sio wewe kuzifuata.
Nakumbuka kijana mmoja niliyekutana naye kwenye seminar.
Alikuwa na ndoto ya kuanzisha biashara.
Alikuwa akifanya kila kitu, lakini matokeo hayakuonekana.
Nilimuuliza: Una mfumo wowote wa kufuatilia mafanikio yako?
Alijibu kwa kucheka: Mfumo? Hapana. Ninafanya kila kitu kwa bahati.
Nikamuambia: Hapo ndipo unapopoteza muda. Weka kanuni moja, na utapata matokeo.
Alijaribu.
Siku ya kwanza aliweka mpango, aliondoa mashaka yake.
Siku ya pili akaufuatilia, akapata matokeo madogo.
Siku ya saba, aliweka target ya wiki.
Na baada ya mwezi mmoja, ndoto yake ilianza kutimia.
Hii sio bahati.
Hii ni nguvu ya kanuni moja ya siku ya mafanikio.
Nafasi inakuwa wazi.
Utaona kilichokuwa kimejificha mapema.
Na kila hatua unayoichukua inakuwa uwekezaji wa maisha yako.
Rafiki yangu, kitabu hiki kinakufundisha jinsi ya:
Kuamua hatua muhimu ya leo
Kuacha hofu na mashaka
Kuunda mfumo rahisi wa kuendesha maisha yako.
Kushinda tabia ya procrastination na bahati mbaya.
Kila mtu anayetumia kanuni hii, anakua mwenye amani, uthabiti, na mafanikio.
Unapoanza leo, hatimaye unakuwa mtu anayejua nini cha kufanya na nini cha kuacha.
Hakuna bahati. Hakuna bahati mbaya.
Kila kitu ni matokeo ya kanuni na nidhamu yako.
Rafiki, hii ni nafasi yako ya kuacha kubahatisha.
Ni wakati wa kuiamsha kanuni ndani yako.
Ukiipuuza, utabaki kwenye mzunguko wa kushindwa.
Lakini ukiisoma, ukiifuata, kila hatua itakusogeza karibu na mafanikio.
Ndoto zako hazitakuwa ndoto tena.
Zitakuwa maisha halisi yanayokuletea furaha, amani, na utajiri.
Huu ni wakati wako.
Sasa.
Siku hii ni muhimu zaidi ya jana.
👇 Bonyeza hapa uanze safari yako ya mafanikio:
https://wa.link/ztoyw0
Karibu.
0756694090.