Rafiki yangu,

Biashara nyingi hufa kimya kimya.
Si kwa sababu mauzo ni machache.

Bali kwa sababu hawana mfumo.

Hawaona ukweli wa mapato yao.
Hawaoni madeni yanayoongezeka.

Stock hupotea.
Matumizi madogo madogo hula kila kitu.

Hii ni hasara ya kimya.
Hakuna kelele.
Lakini kila shilingi inayopotea ni hatari.

Wamiliki wengi wanajitahidi sana.
Wanajituma, wanashughulika na kila kitu.

Lakini mwisho wa mwezi… faida haionekani.

Hii inasababisha stress, uchovu, na wakati mwingine hata kufunga biashara.

Lakini, wacha nikuelezee ukweli…
Unaweza kubadilisha hili leo.

Ndiyo maana Mfumo Wa Mauzo CRM & Accounting umetengenezwa kwaajili yako.

Mfumo huu ni rahisi.
Lakini ni chombo chenye nguvu kubwa sana.

Inakupa macho ya kuona kila namba muhimu ya biashara yako.

Hapa ni jinsi unavyonufaika:
Taarifa Zote Za Wateja
Mfumo unahifadhi kila mteja wako.

Unaona historia ya manunuzi.
Unaweza kumfahamu mteja, kuwasiliana naye kwa wakati unaofaa, na kuhakikisha hakuna anayesahau.

Ufuatiliaji Wa Madeni
Hakuna deni lisilojulikana.
Mfumo unakukumbusha lini wateja wanapaswa kulipa.

Unaona waliolipa na waliobaki.
Unaweza kuchukua hatua mara moja kabla madeni kuwa makubwa.

Udhibiti Wa Stock
Mfumo unakupa uwazi wa bidhaa zote.

Unaona zilizouzwa na zile zilizobaki.

Hii inazuia upotevu na wizi wa bidhaa.
Ripoti Kamili Ya Mapato, Matumizi, na Faida.

Hakuna hesabu kwa mkono.
Mfumo unatoa ripoti za kifedha kwa muda halisi.

Unaona mapato, matumizi, na faida halisi.

Hii inakuwezesha kupanga mipango ya biashara kwa uangalifu.

Fuatilia Biashara Yako Ukiwa Popote
Kwa simu au kompyuta yako, unaona kila kitu popote ulipo.

Hii inakupa uhuru wa kwenda popote ukiwa na amani ya akili.

Consultation na Mafunzo Bure
Tunaweka mkono kwa mkono na wewe.

Tunahakikisha unatumia mfumo kwa ufanisi kamili.

Hii ni thamani ya ziada ambayo wengi hawapati wanaponunua mifumo mingine.

Meseji 500 Za Mfumo Wa Kumbuka
Mfumo unakusaidia kufikisha ujumbe kwa wateja kwa urahisi.

Hakuna kulazimisha.
Kila kitu kinafanyika kwa click moja.

Sasa fikiria hili…
Kwa Tshs 30,000 tu, unapata thamani ya zaidi ya Tshs 100,000.

Unaanza kutumia mfumo kwa siku 37.

Unapata meseji 500.
Consultation na mafunzo bure.

Hii ni ofisi yako ya kifedha kwenye kidole chako.

Inakuwezesha kudhibiti kila kitu kwa uwazi na kwa usahihi.

Lakini angalia…
Ofa hii ni ya wiki hii tu.
Kuna nafasi 39 tu.

Ukisubiri, unaweza kupoteza nafasi hii.
Au kuanza tena kwa gharama kubwa zaidi.

Au kuendelea kubahatisha kila shilingi inayopita kwenye biashara yako.

Rafiki yangu, hatua unayoichukua sasa ndiyo itakayobadilisha mwelekeo wa biashara yako.

Unaweza kuchagua kuendelea kubahatisha.
Ukihesabu kwa bahati tu.

Ukiendelea kuona faida ikipotea polepole.
Au unaweza kuchukua udhibiti kamili leo.

Kuona kila shilingi inapoingia na kutoka.
Na kuhakikisha faida halisi inakuzwa.

Kuupata bonyeza hapa
👇
https://wa.link/289wdg

Karibu.
0756694090.