Karibu tena kwenye utaratibu wa kujisomea vitabu.
Utaratibu wa kujisomea vitabu ni utaratibu maalumu ambapo kila aliejiunga na mtandao huu wa AMKA MTANZANIA anapatiwa kitabu cha kujisomea kila mwezi. Vitabu vinavyotolewa ni vile vyenye kuhamasisha, kutia moyo na kujiendeleza binafsi.
Mwezi huu wa tisa tutajisomea kitabu cha THE SEVEN HABITS OF HIGHLY EFFECTIVE PEOPLE kilichoandikwa na Stephen R. Covey.
Hiki ni kitabu kizuri kwa maendeleo binafsi na kuweza kupambana na changamoto za kila siku kwenye maisha na hata kazi.
Ni kitabu kitakachokusaidia kuyaboresha maisha yako mwenyewe na pia kuboresha mahusiano yako na wanaokuzunguka.
Kitabu hiki kitakupatia mbinu mbalimbali za kuweza kuwaelewa wengine na kutatua migogoro baina yako na wanaokuzunguka.
Pia kitabu hiki kitakupa mbinu za kukusaidia kuwa mtu wa muhimu kwa jamii yako, kutengeneza marafiki na pia kuongeza ushawishi.
Kupata kitabu hiki bonyeza link hapo chini kudownload.
THE SEVEN HABITS OF HIGHLY EFFECTIVE PEOPLE
Jiunge na mtandao huu ili kupata vitabu maandiko mengine mazuri. Kujiunga bonyeza hapa(JIUNGE NA MTANDAO HUU) na uandike email yako.
Kwa mengi zaidi tembelea AMKA MTANZANIA na pia waalike marafiki zako nao wapate mambo haya mazuri.
ASANTE NA KARIBU SANA.