AMKA MTANZANIA imeandaa semina ya kubadili maisha itakayofanyika jumamosi tarehe 18/01/2014…… LEO
Mada zitakazozungumzwa ni;
1. Wewe ni zaidi ya unavyojijua.
2. Wewe ndiye kiongozi mkuu wa maisha yako.
3. Umuhimu wa kujihamasisha na kujiendeleza binafsi.
4. Jinsi ya kuweka malengo makubwa na utakayoyafikia.
5. Makosa makubwa unayofanya wakati wa kuweka na kutimiza malengo yako na jinsi ya kuyaepuka.
Semina itafanyika UBUNGO PLAZA, kwenye ukumbi wa chuo cha INFOBRIDGE(MUGEREZI SPACIAL TECHNOLOGY)
Kiingilio ni TSH 10,000/= Muda ni kuanzia saa nne kamili asubuhi mpaka saa nane kamili mchana.
Usikose kuhudhuria semina hii muhimu kwenye maisha yako.

JINSI YA KUFIKA ENEO LA SEMINA
Panda gari zinazopita ubungo na shuka stend ya mkoa.
Ingia jengo la UBUNGO PLAZA kwa kutumia geti la magari upande wa shekilango.
Ingia mlango wa kwenza wenye mabango ya Akiba Bank/NMB Bank.
Panda ngazi za chuma ukifika sakafu ya kwanza utaona vibao vinaelekeza ilipo INFOBRIDGE AU MUGEREZI SPACIAL TECHNOLOGY(MUST). Vifuate vibao hivyo na utafika eneo la semina.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu au andika ujumbe kwenda
0717396253 au email kwenda amakirita@gmail.com
Karibu sana na wakaribishe wengine ili nao wapate mambo haya mazuri.