Hongera sana kwa kuchagua kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA. 
  Kama lilivyo jina kisima ni sehemu ambayo tumezoea kuchota maji bila ya kikomo na maji haya ni msaada sana kwetu. Hivyo basi hapa kwenye kisima cha maarifa utachota maarifa bila ya kikomo na maarifa hayo yatakuwa na msaada mkubwa sana kwa maisha yako.
  KISIMA CHA MAARIFA ni blog private hivyo haiwezi kutembelewa na kila mtu. Blog hii ni kwa wale waliojiunga tu kwa kulipa gharama kidogo iliyowekwa. Gharama inayowekwa ni kidogo sana kulinganisha na thamani unayoipata hapa kwenye blog. Na pia kwa gharama hiyo inakufanya upate vitu vya kipekee na vya ubora ambavyo huwezi kupata sehemu nyingine yoyote.
  Karibu uwe mwana kisiwa na tumia nafasi hii kujifunza mambo mengi ambayo ukiyatumia yatasaidia sana kuboresha maisha yako.
  Uko huru kuuliza chochote au kuomba ufafanuzi wa jambo lolote ambalo hujalielewa. Unaweza kuuliza kwa kuandika sehemu ya maoni ama kwa kutumia mawasiliano ambayo yanapatikana kwenye hii blog.
  Karibu sana na nakutakia kila la kheri katika kuboresha maisha yako.
  Makirita Amani
  0717396253
  amakirita@gmail.com