Kisima cha maarifa kinaendelea kuwapatia watu maarifa mbalimbali ya kujikwamua kimaisha. Mafunzo ya biashara, mtandao na mengine mengi yanatolewa kwenye kisima cha maarifa.
Pia sasa hivi ndani ya KISIMA CHA MAARIFA kuna forum ndogo kwa ajili ya majadiliano. Unaweza kuanzisha mjadala au kuchangia mjadala uliopo ili kuweza kusaidiana kupambana na changamoto tunazokutana nazo kila siku.
Tofauti na nilivyosema awali kwamba unahitaji kuwa na email ya google yaani gmail, hivi sasa unaweza kujiunga na kisima cha maarifa kwa kutumia email yoyote uliyonayo. Iwe unatumia yahoo, outlook, hotmail au hata email ya kampuni yako unaweza kuitumia kujisajili kwenye kisima cha maarifa.
Kujiunga na kisima cha maarifa tuma fedha tsh elfu kumi(10,000/=) kwenda namba 0717396253 au 0755953887 na kisha utume email yako ili uweze kuunganishwa. Baada ya kutuma email utatumiwa invitation ya kusoma blog kwenye email yako. Unachotakiwa ni kukubali invitation hiyo na baada ya hapo utaweza kujisomea blog kwa muda wowote unaotaka.
Fedha hii unailipa mara moja tu na unakuwa mwanachama wa kudumu. Fedha unayolipa ni ndogo sana kulingana na elimu utakayopata. Nimeweka ndogo hivi ili watu wengi zaidi waweze kupata elimu hii. Baaada ya muda mfupi fedha ya kujiunga itaongezeka hivyo kama unampango wa kujiunga na kisima fanya hivyo mapema kabla ada haijapanda.
Nakutakia kila la kheri katika harakati zako za kuboresha maisha yako. Tuko pamoja.
