Volunteers are not paid – not because they are worthless, but because they are priceless.

Wanaojitolea hawalipwi – sio kwa sababu hawana thamani ila kwa sababu thamani yao ni kubwa sana huwezi kuipa bei.

Jitolee ulicho nacho kuwasaidia wengine, inaweza kuwa muda, fedha, ushauri na vingine.

TUPO PAMOJA.