Kitabu hiki cha Brian Tracy kimeelezea sheria 21 za fedha ambazo unatakiwa kuzifuata ili kuweza kufikia uhuru wa fedha na mafanikio makubwa.

Kisikilize ili kujifunza zaidi.

Naomba maoni hapo chini kama kuna tatizo lolote katika kusikiliza kitabu hiki.

Nakutakia kila la kheri katika safari ya kufikia mafanikio makubwa.

TUPO PAMOJA