Kama hutofanya chochote hakuna kitakachotokea… Kama ukifanya chochote, chochote kinaweza kutokea… Ndio unaweza kuishia huna kitu, lakini hapo ndio ulipoanzia. Una nini cha kupoteza? Fanya kitu kubadili maisha yako sasa.