image

Hakuna atakayekulipa kwa sababu tu umekuwa kwenye kazi muda mrefu au kwa sababu unaonekana unafanya kazi muda mrefu.
Utalipwa kulingana na thamani unayozalisha.
Ukilazisha thamani kubwa unapata malipo makubwa.
Kama unazalisha thamani ndogo, au huzalishi kabisa thamani, unategemea nini?
Leta mabadiliko leo, fanya kitu kwa utofauti na hakikisha unaongeza thamani.
Hii ndio njia pekee na ya uhakika ya kuongeza kipato chako.
Je utafanya hivi?
Rafiki na Kocha wako,
Makirita Amani.