Rafiki yangu,

Kwa siku kadhaa zilizopita, kabla ya kuanza mwaka huu mpya 2018 na hata baada ya kuuanza, nimekuwa nakushirikisha maarifa ya namna ya kuuanza mwaka mpya kwa malengo na mipango sahihi.

Nimekuwa nakushirikisha mambo ya kuepuka kufanya kwenye kuweka malengo ya mwaka mpya, ambayo yamewagharimu wengi kushindwa kufikia malengo yao.

Pia nimekuwa nakupa taarifa ya semina ya kuuanza mwaka 2018 ambayo inafanyika kwa njia ya wasap kwenye kundi la KISIMA CHA MAARIFA.

Semina hii ni muhimu sana kwa mtu yeyote ambaye yupo makini na maisha yake na anataka kuona tofauti kubwa kwenye maisha yake kwa mwaka huu 2018.

Leo napenda kuchukua nafasi hii kukutaarifu ya kwamba, mwisho wa kupata nafasi ya kushiriki semina hii ni leo.

Leo ndiyo siku ya mwisho kabisa ya kupata nafasi ya kushiriki semina ambayo itakusaidia kuufanya mwaka 2018 kuwa mwaka bora kwako.

2018 best year ever

Kama utashindwa kuchukua hatua ya kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA leo, utakuwa umechagua kuupoteza mwaka 2018 kwa kuendelea na maisha  ya mazoea, ambayo huwa hayaleti matokeo ya tofauti kamwe.

Kupata nafasi ya kushiriki semina hii ya kuufanya mwaka 2018 uwe mwaka wa mafanikio kwako, lipa ada ya kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA, tsh 50,000/= ambayo ni ada ya mwaka mzima. Ada inalipwa kwa njia ya mpesa 0755 953 887 au Tigo pesa/ Airtel Money 0717 396 253. Ukishatuma ada, tuma ujumbe kwa njia ya wasap wenye majina yako kwenda namba 0717 396 253.

Kama kwa namna moja au nyingine hukuwa umepata taarifa hizi za semina, basi ni hizi hapa kwa ufupi;

SEMINA YA KUUANZA MWAKA 2018 KWA MAFANIKIO MAKUBWA.

Nimekuandalia semina ya kipekee ya kuuanza mwaka 2018 kwa mafanikio makubwa sana ambayo yanaanzia ndani yako mwenyewe.

Hii ni semina ambayo inafanyika mara moja tu na hupaswi kuikosa kama unapenda kupiga hatua na kufanikiwa zaidi kwenye maisha yako.

Semina hii itakuwa ya siku tano na itaendeshwa kwa njia ya mtandao, kupitia kundi la wasap la KISIMA CHA MAARIFA. Unaweza kushiriki semina hii popote pale ulipo duniani, na kwa muda wako binafsi. Huhitaji kusafiri kwenda popote na huhitaji kuacha kazi zako ili kushiriki. Ni wewe kuhakikisha upo kwenye kundi na kufuatilia mafunzo kadiri ya muda wako.

Mada za semina.

Kwenye semina hii ya kuuanza mwaka 2018, tutajifunza mambo yafuatayo;

Siku ya kwanza; karibu mwaka mpya, jitengeneze wewe kuwa mpya.

Siku ya pili; maneno matatu ya kutuongoza kwa mwaka 2018.

Siku ya tatu; mfumo bora wa siku na maisha ya mafanikio.

Siku ya nne; fedha na uwekezaji kwa mwaka 2018

Siku ya tano; hatua za kwenye kazi, biashara na mahusiano kwa mwaka 2018.

Kwa siku hizo tano tutajifunza kwa kina na kila mmoja wetu kuondoka na mpango wa kuishi na kufanyia kazi kwa mwaka 2018. Mpango ambao utazuia changamoto au matatizo kuwa kikwazo kwetu kupata kile tunachotaka.

Tarehe ya kufanyika kwa semina.

Semina itafanyika kwa siku tano, kuanzia jumatatu ya tarehe 08/01/2018 mpaka ijumaa ya tarehe 12/01/2018.

Jinsi ya kushiriki semina hii.

Ili uweze kushiriki semina hii, unapaswa kuwa mwanachama wa KISIMA CHA MAARIFA. Ukishakuwa mwanachama, hakuna gharama za ziada za kulipa ili kushiriki semina.

Kama bado hujawa mwanachama, unaweza kujiunga kwa kulipa ada ya mwaka ambayo ni tsh 50,000/= (elfu hamsini). Hii ni ada ya mwaka mzima, kwa kipindi cha miezi 12 tangu unapojiunga.

Kwa kuwa kwenye KISIMA CHA MAARIFA unaendelea kujifunza mengine mengi kila siku, ikiwa ni pamoja na kushiriki semina nyingine ya njia ya mtandao na semina ya kuhudhuria pia.

Jinsi ya kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA.

Unalipa ada tsh 50,000/= kwa njia ya simu; MPESA 0755 953 887 au TIGO PESA/AIRTEL MONEY 0717 396 253 Namba hizo zina jina AMANI MAKIRITA. Ukishatuma malipo tuma ujumbe wenye majina yako kamili kwenye moja ya namba hizo kisha utaunganishwa kwenye kundi la WASAP.

Muhimu; leo ndiyo siku ya mwisho kabisa kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA ili kuweza kushiriki semina hii muhimu kwako kwa mwaka huu 2018. Nakusihi sana rafiki yangu, chukua hatua sasa kama bado hujapata nafasi ya kushiriki semina, usikubali mwaka huu upotee.

Karibu sana tuuanze na kuenda na mwaka 2018 kwa pamoja, tuweze kupiga hatua na kufanikiwa zaidi.

Karibu kwenye KISIMA CHA MAARIFA, karibu kwenye semina ya kuuanza mwaka 2018.

MUHIMU; Kama utalipia na kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA na baadaye ukagundua kwamba huduma hiyo haikufai, nijulishe na nitakurudishia fedha zako. Ninachoweza kukuambia ni kwamba, neno langu ndiyo sheria yangu, na ndiyo imeniwezesha kuwa hapa na wewe, hivyo ninafanya kile ninachokuambia nitafanya.

Karibu sana kwenye KISIMA CHA MAARIFA, nafasi ni chache, chukua hatua leo, kwa sababu huna cha kupoteza.

Kila la Kheri Rafiki Yangu.

Rafiki na Kocha wako,

Dr. Makirita Amani,