Vitu vitatu unavyoweza kufanya kwenye kila jambo na kila hali unayopitia.
Kuna kitu unachoweza kujifunza,
Kuna kitu unachoweza kuwafundisha wengine,
Na kuna kitu unachoweza kufanya, hata kama ni kidogo kiasi gani.
Usikubali tena kukwama kwenye jambo lolote,
Usijiambie uko njia panda na hujui nini cha kufanya.
Jifunze, fundisha, fanya.
Hivyo tu kila siku, na utapiga hatua kubwa kuelekea kwenye mafanikio makubwa.
Kila la Kheri Rafiki Yangu.
Rafiki na Kocha wako,
Dr. Makirita Amani,
Asante Sana Kocha
Ukisema upo njia panda uwezi kupata solution.
LikeLike